Wapenzi mkikaa pamoja kwa muda mrefu kuna kitu mtafanana, je wewe umefanana nini na mpenzi wako?

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,728
6,792
Wapenzi mkikaa muda mrefu kuna vitu mtafanana sababu ya kuigana tu ambako kunatokea automatically.

Mfano mke wangu ameiga kabisa maneno nnayotumia kuwagombeza watoto wakikosea, akiwa peke yake labda seblen mie nipo nje au chumbani utasikia anatumia hayohayo maneno nnayotumiaga mimi. Vile vile hata ongea yangu naona anaiiga na mm kuna baadhi ya maneno machache nimeyatoa kwake pamoja na namna ya kuyatamka.

Ww je umefanana nini na mpenzi wako?
 
Back
Top Bottom