Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

mbinafsi mchoyo vyake ni vyake vyangu vya wote,ndugu zake wa maana kuliko wa upande wa pili
 
Sipendi mpenzi wangu ajisikie vibaya kusema amekwama kifedha.. Kwa kisingizio kuwa atakuwa amejishusha kupewa pesa na mwanamke..
 
tukiwa outing,awe anapepesa macho kwa wahudumu/wanawake wengine.....i want his 100% attention:loco:
 
cpend mpnz wangu kutopokea cmu zang kila cku ucku alaf anatoa sbb ziczoeleweka...,cpend 2kiwa wote anacfia wadada wengne.
 
sipendi kabisa anidanganye
sipendi aongee na wadada wengine hata kuwasalimia mi sitaki kabisa yani,kupigiana nao simu( labda wa kazini au mambo ya kiofisi) vinginevo sitaki kabisaaaaaaa
 
sipendi kabisa anidanganye
sipendi aongee na wadada wengine hata kuwasalimia mi sitaki kabisa yani,kupigiana nao simu( labda wa kazini au mambo ya kiofisi) vinginevo sitaki kabisaaaaaaa

unakaba hadi penati
 
yani ndio ivo yani sitaki kabisa yani hata akisema anaenda mahali namuambia twende wote nakusindikiza hata kama nilikua na mambo yangu bora niache twende huko anakoenda .....najitahidi kujizuia na kuacha hiyo tabia ila siwezi yani akiongea na mdada mi nahisi nakufa[/QUOTE]

yaan Cute hii ni kweli kabisa, hata wa kwangu ana tabia hii...hata nikimwambia naenda Garage, atataka tufuatane, inakuwaje lakini?nini kinachokuwepogi mioyoni mwenu?unabanwa mpaka unakiri nimebananishwa.
 
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!

nahisi wewe ni pacha wangu wa moyoni, hata mimi sipendi hii tabia....... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Back
Top Bottom