:eek2:umesoma tangazo mpya kule jukwa lingine? Hizo activities zenu zitawasababishia ban very soon.
Umesoma tangazo mpya kule jukwa lingine? hizo activities zenu zitawasababishia ban very soon.
Ok sawa kama kanawahusu ninyi sawa...!hako kamkwara kanahusu same sex. ila mm na wewe Invisible
na Roulette naona wanaruhusu. sasa unasemaje?
Ok sawa kama kanawahusu ninyi sawa...!
Mzima?
Hahahaaaaaa umeona eeehAhaaa...........! sitiii neno wewe mkare