Like ya Roulette is so sexy!

kule nimehama muda tu, nilikuwa lunch na Kaizer my shemeji ndio tu nimerudi!

Kaizer unamjua vizuri? ni shemeji shemeji

namjuaje sasa??? ila ni shemeji tu, si shemeji, shemeji! kha, platozoom ufukunyuku utakuponza!

Usije sema sikukwambia
platozoom nini mbaya? cacico na mimi ndo kama uji na mgonjwa aisee.....wewe endelea na Roulette tuone mwisho wake...ila kama unapenda pingu lakini! kha!
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi platozoom ni hivo hivo. hasa alipokuwa na avatar hii nilio ibandika pembeni
ya kitanda changu... jst in case nikikwama siku moja moja kwa hamu ya felo ke'
naitumia kama wavuvi wanatumia ugali kula samaki wa kwenye picha cku samaki live hayupo.

attachment.php

huwa nahisi hadi hio sigara inakuwepo. Sexy babe Roulette popote ulipo, come this way...............:A S 465:
 
Na wewe Erotica come this way popote ulipo nimekumisije?
 
Last edited by a moderator:
Roulette mbona nahisi umeondoka bila hata salamu?

my heart is bamping ujue?? come this way mamito. mwaaaaaaah :A S-heart-2:

usiogope, njoo nikutambulishe kwa sexy loving Kaunga.......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom