Like ya Roulette is so sexy!

hako kamkwara kanahusu same sex. ila mm na wewe Invisible

na Roulette naona wanaruhusu. sasa unasemaje?

Hamjamuelewa Roulette na wala hamtamuelewa.....mimi tu ndio nimemuelewa na tumeelewana
 
Last edited by a moderator:
platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:

Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...

Thats why i like you madam Roulette because you always tell the truth and what you really feel bila ya kuogopa mtu yeyote. Apart from that you are intelligent lady who always makes wise decisions. Am so proud of My lovely sister Roulette. Keep it up.
 
Mwali, I must say that I am so delighted to see you...so long my niece.....please do the needful.
tea_1405761c.jpg

Shkamoo Uncle... I miss you three (wala sio too)
 
Nipo Mahuta jamani. tumefunga shule kwa sasa
Niko zangu leave nakula a well deserved treat
Kama kuna ujumbe wa dharura au party nzuri
message au kadi mpeni Ambitious atafikisha

Umetiririka ushairi na yeyote atakiri
U-mbali sielewi umeadimika mnadhiri

Usende mbali muhibu utaivuruga akili
Ujumbe wangu nitampa ila ausitiri

Wasalaam platozoom
JF Founder
 
Last edited by a moderator:
Umetiririka ushairi na yeyote atakiri
U-mbali sielewi umeadimika mnadhiri

Usende mbali muhibu utaivuruga akili
Ujumbe wangu nitampa ila ausitiri

Wasalaam platozoom
JF Founder
hakikisha huo ujumbe ni msafi na halali
nisije upata, kumbe! ni wa mahaba makali...
Kumbuka huku mahuta niko na wangu asali
sitaki aje ukuta ujumbe wako tafadhali
 
hakikisha huo ujumbe ni msafi na halali
nisije upata, kumbe! ni wa mahaba makali...
Kumbuka huku mahuta niko na wangu asali
sitaki aje ukuta ujumbe wako tafadhali

Ujumbe nitampa ila maneno yatakuwa matamu
Sitakuudhi usijali ujumbe utaufahamu

Moyo wangu wenda mbio ukimtaja huyo asali wako
Nidanganye hata kwa mafumbo nisiukose unono
 
Ujumbe nitampa ila maneno yatakuwa matamu
Sitakuudhi usijali ujumbe utaufahamu

Moyo wangu wenda mbio ukimtaja huyo asali wako
Nidanganye hata kwa mafumbo nisiukose unono

Huku niko na asali, lazima ataupata ujumbe
Kumbuka mimi ni Mwali, wewe mtoto wa kiume
huoni kuna hatari ya kunipeperushia mume?
naomba utafakari, na huo ujumbe usitume!
 
Huku niko na asali, lazima ataupata ujumbe
Kumbuka mimi ni Mwali, wewe mtoto wa kiume
huoni kuna hatari ya kunipeperushia mume?
naomba utafakari, na huo ujumbe usitume!

Kilio chako nimesikia makali nitayapunguza
Ila ujumbe pokea haja ya mja kunena

Usihofu muhisani maneno yangu ni dawa
Utapona nakwambia hofu yako itaisha

Namuheshimu asali wako japo roho yaumia
Hifadhi ujumbe wangu utanikumbuka maridhia
Mtupe jongoo lakini mti wake utakufaa

Alamsiki mnyange ulale kwa usalmini
Wabaya wasikupate usingizi uwe wa kheri
Unikumbuke kwa sekunde japo kwa umbali
 
ujumbe ukiwa mchungu au ukiwa wa furaha
nitaupokea na kujibu, ila habari umepata.
Sasa huku ni usiku, twajiandaa kulala
njozi njema ndugu yangu, nimefurahi kukusoma
 
platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:

Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...
Bibie Roulette acha longolongo mingi, kwanza nambie shem langu la ukwee AshaDii ako wapi?

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha rasmi kuwa like yako ya sasa hivi haina mashiko kwakuwa haiza msisitizo wa kale ka mai fevareti avatar...

attachment.php

Hata hivyo usijali kwakuwa :
If you want to be happy, BE! .........(ODM)
 
Last edited by a moderator:
Thats why i like you madam Roulette because you always tell the truth and what you really feel bila ya kuogopa mtu yeyote. Apart from that you are intelligent lady who always makes wise decisions. Am so proud of My lovely sister Roulette. Keep it up.
Bibie Roulette usikubali kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Huyu dogo huwa anakuua kinoma. Hii ni janja yake asipigwe BAN. Kula kichwa akileta za kuleta...:spy:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom