Like ya Roulette is so sexy!

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,349
11,114
Nilikuwa nawaza maisha yalivyo magumu.....ghafla nacheck kwenye screen nakutana na like ya The queen of JF Moderators Roulette kwenye post yangu..........ghafla nikahisi kijoto fulani kinapita ndani ya vein za moyo wangu. Faraja na mahanjam yakauengaenga moyo na ubongo bila tashtiti.

Matatizo hayajaisha ila angalau kwa dakika kama 20 nilikuwa na raaha.

Mashalaaah Roulette
platozoom
Merged with :
Sina uhakika sana lakini nadhani she is the only female moderator hapa kwa JF (Nimesema sina uhakika) lakini kama kuna wengine basi they don't sound sexy kama huyu

Eti Roulette what happened to Russian Roulette? Je mazungumzo yale ya kirusi yamechukua uraia mpya? Kama ndio ni wa wapi huo? Maana sasa imebaki kuwa mazungumzo tu aka chat.

Sorry Paw, but i am interested in Roulette so i wanna know her a lit more......

Nilikuwa nawaza maisha yalivyo magumu.....ghafla nacheck kwenye screen nakutana na like ya The queen of JF Moderators Roulette kwenye post yangu..........ghafla nikahisi kijoto fulani kinapita ndani ya vein za moyo wangu. Faraja na mahanjam yakauengaenga moyo na ubongo bila tashtiti.

Matatizo hayajaisha ila angalau kwa dakika kama 20 nilikuwa na raaha.

Mashalaaah Roulette
platozoom
JF Founder
platozoom mzima weye?? heshima yako my bro!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha ha, mie nimetoka kumshangaa hapa siku hizi kawa maziwa ya mgando, mmmh kama hakuna chemistry hapa walau kuna jiografia

Umeona maneno aliyompa Judgment nimeyaweka kwenye diary.......yaani hapo ndio amenikoroga kabisa
 
Last edited by a moderator:
platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:
Mi nikigongewa na RussianRoullete ndo huwa najisikia kama napaa.

RR popote ulipo njoo nigongee ka-Like hapa mtoto wa Kiume nisimamishe kikojoleo changu bana.

Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...
 
Last edited by a moderator:
platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:

Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...

Unafikiri nina maneno basi..............Hiyo sauti yako yenye maelezo ndiyo inaniongezea kabisa homa. Roulette kwa kweli!!
 
Last edited by a moderator:
platozoom na wengine wote wanao taka kunilainisha kwa kupenda like zangu:
Katika thread ya mpendwa wetu Mphamvu (I miss you bro), mnamo tarehe 25 mwezi wa kwanza mwaka huu inayo itwa
https://www.jamiiforums.com/jf-chit...ngewa-like-na-invisible-wewe.html#post3202368
Post #8 (link) Asprini a.k.a. ODM alisema:

Na mimi nikamjibu hapo hapo (in line editing, as per my mod competence and capabilities).
Hayo hayakuziwiya your favorite grandpa kupigwa BAN pale alipo kosea katika jukwaa fulani (shahidi Bishanga, tajiri wa kihaya anae mpa tabu Nyani Ngabu).
Narudi kwenye point yangu ( Kongosho usishangae): Like utapata pale unapo changia na kunifurahisha, ila haito ziwia sheria za JF kuzingatiwa. I hope you like handcuffs...

kwenye red hapo Roulette,nani anampa tabu mwenzio Nyani Ngabu ndo ananizibia kila nnapoenda,sijui anataka awawowee warembo wote wa jf? mi namshangaa.
back to topic,umejisikiaje baada ya kupewa hizo sifa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom