Free ideas
hofu inajenga imani ya kuamini kisichokuepo??
Kabla yakuepo hizi dini mkuu nakubaliana nawe kuwa zamani binadamu alikua na system ya maisha katika kuirutubisha hii roho lakini dini zilipokuja zinasema mungu alikua yupo hapa hapa duniania na roho alizukusanya kutoka kwa wasaidizi malaika lakini sasa hivi mungu yupo mbali kwa mujibu wa imani zetu je haoni hofu zetu zimepungua akatokea kwa kutupa mifano ya hizo roho zinavyoteseka??
Mkuu unaongelea mungu au Mungu?
Last edited by a moderator: