PROF PHILOSOPHY
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 142
- 40
(1) UUMBAJI.
udongo + pumzi ya uhai = nafsi hai (mwanzo 2:7)
(2) KIFO
Nafsi hai - pumzi ya uhai = udongo. (mwanzo 3:19, zaburi 146:4, zaburi 104:29)
(3) MTU AKIFA ROHO HAIENDI MBIGUNI.
Biblia inasema hivi; mhubiri 9:4-6,10 & mhubiri 3:19-21
Kwa kuwa liko tumaini kwa yule aliyeambatana na wote walio hai; (maana ni afadhali mbwa aliye hai kuliko simba aliyekufa); kwa sababu walio hai wanajua ya kwamba watakufa; lakini wafu hawajui neno lo lote, wala hawana ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa.
Mapenzi yao na machukio yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lo lote lililofanyika chini ya jua.
Kwa maana linalowatukia wanadamu linawatukia wanyama; jambo moja lawatukia; anavyokufa huyu ndivyo anavyokufa huyu; naam, wote wanayo pumzi moja; wala mwanadamu hana kitu cha kumpita mnyama; kwa maana yote ni ubatili.
Wote huendea mahali pamoja; wote hutoka katika mavumbi; na hata mavumbini hurudi tena.
Ni nani ajuaye kama roho ya binadamu huenda juu, na kama roho ya mnyama huenda chini?
Hivyo nikaona ya kwamba hakuna jema kupita mwanadamu kuzifurahia kazi zake; kwa sababu hili ni fungu lake; kwa maana ni nani atakayemrudisha tena ili ayaone yatakayomfuata baadaye.
MTU ALIE KWENYE KOMA, AU ALIEZIMIA HUWA KWENYE NUSU MAUTI.
mtafute mtu aliwahi kuwa mahututi au aliewahi kuzimia muulize kama anakumbuka kuona chochote au kusikia chochote.
mshahara wa dhambi ni mauti. roho inayotenda dhambi itakufa.
yesu alipokufa hakwenda mbinguni hadi alipofufuka na kupaa..
waliokufa wamelala wanasubiri kila mtu kwa kadiri ya matendo yake. 1wathesalonike 4:13-15