UNDP: Umri wa kuishi Mtanzania (life expectancy) waongezeka hadi miaka 66.8 ywa namba 2 Afrika Mashariki, Rwanda yaongoza

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,779
Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo UNDP limesema umri wa Mtanzania kuishi Sasa umeongezeka kutoka miaka 62 Hadi kufikia miaka 66.8(67) ukichagizwa na kuomarika Kwa Huduma za Afya.

Kwa mujibu wa ripoti ya Human Development Index Tanzania imeshika nafasi ya pili nyuma ya Rwanda.

My Take

Hongera sana Serikali ya mama Kwa uwekezaji mkubwa wa kuboresha Afya.

View: https://www.instagram.com/p/C4fcDK5Ko9B/?igsh=MWF3Ymt0ZGZoamk1

-Sasa Nguvu kubwa iongezwe kwenye kukuza uchumi na usalama wa chakula maana sio tuu tunaishi miaka Mingi Bali tunazana sana.

=====
Tanzanians can look forward to longer life expectancy following a notable increase in recent years, attributed to advancements in healthcare systems and continuous awareness campaigns promoting healthy living.

According to the 2023/24 Human Development Report (HDR) by the United Nations Development Programme (UNDP), Tanzania's life expectancy has risen to 66.8 years from 66.2 years recorded in 2021/22.

LIFE EXPECTANCY AMONG EAST AFRICAN COMMUNITY COUNTRIES

🇷🇼 Rwanda: 67.1 years
🇹🇿 Tanzania: 66.8
🇧🇮 Burundi: 63.7
🇺🇬 Uganda: 63.7
🇰🇪 Kenya: 62.1
🇨🇩 DR Congo: 59.7
🇸🇴 Somalia: 56.1
🇸🇸 South Sudan: 55.6

In summary, the 2023/24 HDR positions Tanzania as second in East Africa in terms of life expectancy, with Rwanda leading at 67.1 years. These positive trends underscore the ongoing efforts to enhance healthcare services and promote healthier lifestyles across the nation.
 
Tuwe teaching university hospital tunaweza ishi miaka 80.
Ndio muelekeo wa Wizara ya Afya kuifanya Tanzania kama hub ya medical Tourism.

Tunisia na Morocco wameweza sisi tunashindwajs wakati tuko eneo zuri kimkakati?
 
In a recent country economic update, the World Bank highlighted concerns regarding Tanzania's population boom and its potential adverse effects on economic growth.

According to the report, Tanzania's population could surge to 140 million by 2050 if current trends continue. This rapid population growth, coupled with the country's economic situation, may lead to significant strain on resources if not addressed effectively.

Tanzania's population growth rate of 3% exceeds the average growth rates of Sub-Saharan Africa (2.6%) and low-income countries (2.7%). This disparity indicates a pressing need to manage population growth to avoid overwhelming challenges in the future.

The World Bank has underlined the importance of addressing this issue promptly to prevent it from becoming a major obstacle to Tanzania's already vulnerable economy.

Key sectors such as education and health services are likely to face increased pressure due to population growth, necessitating proactive measures and strategic planning.
 
Rwanda inaiacha tanzania mbali kwenye kila kitu yani hata sijui shida ipo wapi? Ukiangalia ripot ya mwaka 2023 rwanda imepokea wageni wengi wa utalii kuliko tanzania,

Rwanda mwaka 2023 imeudha dhahabu nyingi nnje ya inchi kuliko tanzania ingawa hawachimbi dhahabu,

Sisi wenye kilakitu bado tupo nyuma yao kuanzia kwenye afya elimu ulinzi, sio siri hata kagame anavyotudharau huwa anamaanisha,
 
Rwanda inaiacha tanzania mbali kwenye kila kitu yani hata sijui shida ipo wapi? Ukiangalia ripot ya mwaka 2023 rwanda imepokea wageni wengi wa utalii kuliko Tanzania...
Sikubaliani na usemacho Acha uongo basi.Tanzania ni ya 5 Afrika Kwa kupokea Watalii labda kama Hilo neno wageni lina maanisha mambo mengine.

Mwisho Kuongoza Kanchi kadogo kama Wilaya sio sawa na Kuongoza Linchi kubwa kama Tanzania.
 
Kama za kweli hongera sana kwa Rwanda nakubali hasa kwa wanaume

Wanaume wa kinyarwanda kuzeeka hata muonekano wagumu sana ila wanawake wa kinyarwanda huwa warembo sana usichana ila kuzeeka spidi huwa kubwa mno na hupoteza mvuto tofauti na wanawake wa Tanzania kama mikoa ya Pwani kama Tanga,Pwani,Zanzibar na mikoa ya bara kama wanawake wa singida ,Arusha,Kilimanjaro, manyara,Ruvuma,lindi mtwara na mbeya wanaume huzeeka haraka kuliko wanawake hata kama mwanamke kamzidi mumewe miaka 10 anaonekana msichana mume kachoka vibaya

Rwanda wanawake huzeeka haraka kuliko wanaume na wanakuwa inactive hadi vitandani sijui sababu nini
 
Kama za kweli hongera sana kwa Rwanda nakubali hasa kwa wanaume

Wanaume wa kinyarwanda kuzeeka hata muonekano wagumu sana ila wanawake wa kinyarwanda huwa warembo sana usichana ila kuzeeka spidi huwa kubwa mno na hupoteza mvuto tofauti na wanawake wa Tanzania kama mikoa ya Pwani kama Tanga,Pwani,Zanzibar na mikoa ya bara kama wanawake wa singida ,Arusha,Kilimanjaro, manyara,Ruvuma,lindi mtwara na mbeya wanaume huzeeka haraka kuliko wanawake hata kama mwanamke kamzidi mumewe miaka 10 anaonekana msichana mume kachoka vibaya

Rwanda wanawake huzeeka haraka kuliko wanaume na wanakuwa inactive hadi vitandani sijui sababu nini
Tofauti ni miili.Wanaume ni wembamba warefu wakati wanawake mostly ni mabonge nyama miguu na matako na mahips ni makubwa too much.

Mwisho yaani badala utoe pongezi Kwa Tanzania wewe unawapongeza Wanyarwwnda?
 
Back
Top Bottom