Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine

Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP ( Life Refractory Period), kipindi hiki kipo kwa lengo la kufuta kumbukumbu zote zilizopo kwenye akili ya roho husika ili kuzuia kumbukumbu kuhama kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine, japokuwa kwa baadhi ya watu wengine asilimia chache za kumbukumbu uhama kutoka mwili mmoja kwenda mwingine, hapo ndipo hutokea kile tunaita de jávù, au baadhi ya watu kuexperience mambo ambayo hawajawahi kuyapitia

Kumbuka, mwili ni lazima ufe ili kukamilisha kile tunaita Ecological System. Idadi ya roho zilizopo ulimwenguni ni zile zile, hazijawahi kuongezeka ama kupungua, maana rahisi ni kuwa kamwe hautotoweka ulimwenguni mazima, ila tambua kuwa baada tu ya kufa, hauto experience fahamu yoyote, unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi mzito mpaka pale utakapomaliza miaka yako yote 100 ya LRP

Niwatakie maandalizi mema ya vifo na mapokezi mema ya kuzaliwa kwa mara nyingine baada ya miaka 100 baadae
 
Maruweruwe.
Screenshot_20231116-223505_1.jpg
 
Unazaliwa upya na nani?
 
Unajua raha ya mambo haya unaweza andika upuuzi wowote ukakubalika coz no one knows what happens after we die.. tuishi tu we all got one life
 
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine

Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP ( Life Refractory Period), kipindi hiki kipo kwa lengo la kufuta kumbukumbu zote zilizopo kwenye akili ya roho husika ili kuzuia kumbukumbu kuhama kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine, japokuwa kwa baadhi ya watu wengine asilimia chache za kumbukumbu uhama kutoka mwili mmoja kwenda mwingine, hapo ndipo hutokea kile tunaita de jávù, au baadhi ya watu kuexperience mambo ambayo hawajawahi kuyapitia

Kumbuka, mwili ni lazima ufe ili kukamilisha kile tunaita Ecological System. Idadi ya roho zilizopo ulimwenguni ni zile zile, hazijawahi kuongezeka ama kupungua, maana rahisi ni kuwa kamwe hautotoweka ulimwenguni mazima, ila tambua kuwa baada tu ya kufa, hauto experience fahamu yoyote, unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi mzito mpaka pale utakapomaliza miaka yako yote 100 ya LRP

Niwatakie maandalizi mema ya vifo na mapokezi mema ya kuzaliwa kwa mara nyingine baada ya miaka 100 baadae
Hivi karibuni katika kila karne idadi ya watu duniani imekuwa inaongezeka kwa mabilioni, nathubutu kusema kwa ongezeko la "Geometric Progression" zaidi ya "Arithmetic Progression". Mantiki rahisi tu kama hii inaweka mashaka makubwa sana juu ya dhana yako ya Life Refractory Period (LRP).

Ikiwa kama roho ni zile zile zina "perambulate" kutoka katika mwili mmoja wa mwanadamu kwenda katika mwili mwingine kila baada ya miaka ipatayo 100, basi tungalishuhudia ongezeko la watu duniani angalau kuwa kidogo. Lakini kwa kuwa amri kutoka kwa Muumba wa binadamu inatamka kuwa, "Zaaneni na mwende mkaijaze nchi", basi tutegemee kuona ongezeko kubwa zaidi kwa kadiri ya umri wa uwepo wa sayari yetu ya dunia unavyozidi koyoyoma, mpaka pale itakapofika mwisho wa dahari.

Basi ni dhahiri kuwa miili mipya itaendelea kuzaana kwa kasi kubwa zaidi ikiwa na roho mpya ndani yake, ili nafsi zaidi zipate kuishi hapa duniani. Mashaka kuhusu tishio la ongezeko la idadi kubwa ya watu hapa duniani, hilo si shauri la mwanadamu, bali hilo ni shauri la Muumbaji mwenyewe. Wewe tambua uko huru kuzaa watoto wengi kwa kadiri uwezavyo ili kutii amri ya kuujaza uso wa dunia.
 
Umesema kuwa kumbukumbu zinafutika. Je, wewe umeweza kukumbukaje kuwa ulikuwepo na ukazaliwa upya? Au watu huzaliwa upya baada ya hicho kipindi? Kuna yeyote aliyekwisha kukusimulia kuhusu maisha yake ya nyuma ili hali umesema kumbukumbu hufutika? Na ni kwa nini ichukue miaka 100 wakati ukifundishwa kitu au hesabu au physics shuleni kabla ya mtihani au CAT umeshasahau kabla hata semester/term kwisha?
 
Baba yangu aliyefariki 2001 , baada ya kufa kwake tukiwa tunawasiliana kwa ndoto mara kwa mara.

Baada ya miaka 15 ya kifo chake aliniaga kwamba roho yake imewekwa kwenye mnyama fulani hapa sitamtaja.

Na akaaniambia wazi hicho ulichokiandika hapo juu.

Hivyo ni kweli kabisa
 
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine

Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP ( Life Refractory Period), kipindi hiki kipo kwa lengo la kufuta kumbukumbu zote zilizopo kwenye akili ya roho husika ili kuzuia kumbukumbu kuhama kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine, japokuwa kwa baadhi ya watu wengine asilimia chache za kumbukumbu uhama kutoka mwili mmoja kwenda mwingine, hapo ndipo hutokea kile tunaita de jávù, au baadhi ya watu kuexperience mambo ambayo hawajawahi kuyapitia

Kumbuka, mwili ni lazima ufe ili kukamilisha kile tunaita Ecological System. Idadi ya roho zilizopo ulimwenguni ni zile zile, hazijawahi kuongezeka ama kupungua, maana rahisi ni kuwa kamwe hautotoweka ulimwenguni mazima, ila tambua kuwa baada tu ya kufa, hauto experience fahamu yoyote, unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi mzito mpaka pale utakapomaliza miaka yako yote 100 ya LRP

Niwatakie maandalizi mema ya vifo na mapokezi mema ya kuzaliwa kwa mara nyingine baada ya miaka 100 baadae
Mia ni mingi tuombee ipunguzwe angalau iwe mitano jamani!
 
Back
Top Bottom