Life after Death: What happens after death?

Pasco nimekupata vizuri mkuu kwanza kabisa kwenye uzi wako tupo pamoja nipo page ya nane kuifatilia

inamaana ulimwengu wa roho ndio upo karibu na mungu tu je vipi mambo ya hukumu katika maandiko yanavyosema ipo au mwisho wa roho nikuondoka tu!
 
Last edited by a moderator:
Duh,sina jabu,na kwanini tuumize kichwa khs kufa?kwani kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?basi huko ndio tuendako
 
Free ideas

hofu inajenga imani ya kuamini kisichokuepo??
Kabla yakuepo hizi dini mkuu nakubaliana nawe kuwa zamani binadamu alikua na system ya maisha katika kuirutubisha hii roho lakini dini zilipokuja zinasema mungu alikua yupo hapa hapa duniania na roho alizukusanya kutoka kwa wasaidizi malaika lakini sasa hivi mungu yupo mbali kwa mujibu wa imani zetu je haoni hofu zetu zimepungua akatokea kwa kutupa mifano ya hizo roho zinavyoteseka??
 
Last edited by a moderator:
Pasco nimekupata vizuri mkuu kwanza kabisa kwenye uzi wako tupo pamoja nipo page ya nane kuifatilia

inamaana ulimwengu wa roho ndio upo karibu na mungu tu je vipi mambo ya hukumu katika maandiko yanavyosema ipo au mwisho wa roho nikuondoka tu!

Ngoja nifike nyumbani, kuna machache nitatupia.

So far kaka Pasco kaeleza kwa uzuri kabisa kwani uchambuzi wake umejikita katika mitazamo mbalimbali ya kiimani.
 
Mungu ni Roho, wamwabuduo halisi watamwabudu katika roho na kweli. Yohana 4:24
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nifike nyumbani, kuna machache nitatupia.

So far kaka Pasco kaeleza kwa uzuri kabisa kwani uchambuzi wake umejikita katika mitazamo mbalimbali ya kiimani.

nitashukuru mkuu watu8 nitajenga mtazamo mpya katika haya ingawa mkuu Pasco amechambua na kuchanganua mambo yalivyo katika upande wa mwili na roho
 
Last edited by a moderator:
Haya masuala ni magumu sana,

Majibu utapata mengi lakini sidhani kama kuna hata mmoja mwenye uhakika kuhusu mambo ya kifo na maisha baada kifo.

Hakuna aliyawahi kufa halafu akarudi kueleza yaliyoko huko,
hii yote ni mitazamo mbalimbali kuhusu kifo jinsi watu wanavyo tizamia kutokana na imani zao. LAKINI HAKUNA NADHARIA YENYE UHAKIKA KUHUSU KIFO NA MAISHA BAADA YA KIFO
 
Wakuu tumekua tukijipa matumaini ya pumziko la milele huko mbele ya mungu ambapo huwatunaamini ROHO HAIFI ITAENDELEA KUWEPO kuna vitu huwa najiuliza lakini naishia hewani tu bila kuwa na majibu ingawaje na iman yangu na sipo hapa kupotosha iman za watu ni katika kufahamishana masuala haya

naomba nifuatilie kwa makini sana... this will solve many problems to many...

INTRODUCTION
GOD IS A SPIRIT.(John 4:24)​

GENERAL CHARCTERISTICS OF A SPIRIT BEING.
1. A spirit has no gender (Matthew 22:30)
2. The spirit is not made of physical material. Therefore the spirit is invisible in a physical realm (Hebrews 11:6)
3. The spirit possesses a mind. The spirit and mind are of the same essence. The mind is a composite of the spirit. Mind is a part of a spirit. Therefore all spirits have mind.
4. Spirit possess a will. Will is transferred into the mind. The mind helps the will to manifest. And the manifested will is called "choice". Choice is the manifested will. Therefore a will is what give birth a "choice"
5. All spirits have a power of choice. Because they are not robots. They have their own wills.
6. The spirit being is not restrained by the laws of physics. Therefore a spirit can be any place at no time. The spirit has the speed more than that of light. Because they are not of physical material nature. E.g imaginations
7. Since the spirit has no gender… therefore the all spirits created by God cannot reproduce. No marriage (Matthew 22:30)
8. A will is generated from inside the spirit. And it is processed inside the mind. Therefore choice is generated by the mind.
9. The medium interconnection between the spirit and mind is called heart. In philosophy it is called subconscious mind. And a spirit is called "supper-conscious" mind. (Gen 6:5-6, Gen 8:21)
10. Things are written inside the heart and some storages occurs inside the mind. (Jer 31:33)
11. Many species of spirits created by God lives in a spiritual realm. The physical realm was designed by God to be dominated by the spirits from through the power of His Spirit.
12. God is eternal. Also he created spirits to be eternal. Therefore the spirit beings lives forever from the day they were created. (Please know that God always obeys His laws. He designed spirits to live forever. Therefore He will not kill them even though he have the power to do so. God is able to kill the spirit by using only His words… see Hebrews 4:12)
13. All spirits were created by God.
14. The presence of a spirits means the presence of life.
15. Heart is the center where wills from deep inside the spirit and intellect from the mind are processed and stored

THE MEANING OF A SOUL​
The soul is the "conscious" combination of wills generated deep inside the spirit, intellect available in the mind, and emotions generated by the chemical reactions of the physical body. Therefore it is a combination of wills, mind and emotions. (gen 2:7)
1. A soul include a body with its consciousness (1peter 3:18-20)
2. A spirit excludes consciousness of the physical body
3. The spirit is conscious even if it doesn't possess a physical body. E.g. Angels or God himself.

NB. THE ABOVE THINGS ARE TOO DEEP TO BE UNDERSTOOD BY SOME PEOPLE... SO ULIZENI AMBAPO HAMTA ELEWA....

1.je hii roho inaenda kukaa wapi juu au chini ya ardhi?

kuna kufa kwa aina mbili... 1. kufa kiroho = kupoteza Roho Mtakatifu mwilini (siku ile ile ya dhambi... adam alipoteza Holy Spirit). na 2. Kufa kimwili= kurudi mavumbini... Mtu akifa (kimwili) simply means roho yake imeucha mwili wake.

sasa mtu akifa kimwili... roho yake huenda kwenye spiritual realm... hiyo location ya huko kwenye spiritual world bible imeiita "kifungoni" yaani "prison".

angalia hapa... For Christ also has once suffered for sins, the just for the unjust, that he might bring us to God, being put to death in the flesh, but made alive by the Spirit: By whom also he went and preached unto the spirits in prison; Who formerly were disobedient, when once the longsuffering of God waited in the days of Noah, while the ark was being prepared, by which a few, that is, eight souls were saved through water. (1Peter 3:18-20)

alafu tena inasema "For this cause was the gospel preached also to them that are dead, that they might be judged according to men in the flesh, but live according to God in the spirit" (1Pe 4:6)

2.tangu dunia ianze kuwepo je mungu amehukumu hizi roho au ndio zinasubiria hukumu ?
hapana siku ya hukumu ni moja (Christ atakapo rudi tena)... see Revelation.
3. Kuna maandiko yanasema wale waliotenda mema mungu atawazawadia vitu vizuri ikiwemo wanawake warembo huko peponi je roho peke yake au pamoja na mwili?

huu ni uongo wa hali ya juu because A spirit has no gender. angalia hapa imeandikwa "For in the resurrection they neither marry, nor are given in marriage, but are as the angels of God in heaven" (Matthew 22:30)

4.je kuna maisha baada ya kifo?
Tafadhali nisaidieni

NDIO; kwasababu Binadamu ni roho mwenye mwili uliotengenezwa kutoka muvumbini (genesis 1:26, 2:7). Na roho hafi. Mungu aliumba roho zote na uwezo wa kuishi milele. (Shetani ni roho. Ndio maana Mungu hamuui shetani pamoja na kwamba anaweza kafanya hivyo kwa kutumia neno lake tuu (Hebrews 4:12)). Ndio maana kuna ufufuo, na ndio maana ilibidi Mungu atengeneze dustbin ya roho wote walio misuse their power of choice – Hell. For God will never violet his words.

Since the man is not a robot…Adam misused his power of choice and sinned. The same day Adam ate that tree…he become spiritually dead. We lost spiritual qualities and it followed by loss of original qualities of our bodies. And hence physical death followed. And through the principle of inheritance "by one man sin entered into the world, and death by sin; and so death passed upon all men, for that all have sinned" - (Romans 5:12).

TO UNDO THIS SIN, Jesus was born sinless. Therefore, death had no power over Him. In order for Him to die, He had to receive all our sins so that death could have power over Him. Sasa, the very moment Jesus received our sin… God left him directly, and on that moment Jesus cried out loudly saying "My God, my God, why have you forsaken me?" (Mark 15:34).

I THINK INATOSHA FOR NOW.
 
Haya masuala ni magumu sana,

Majibu utapata mengi lakini sidhani kama kuna hata mmoja mwenye uhakika kuhusu mambo ya kifo na maisha baada kifo.

Hakuna aliyawahi kufa halafu akarudi kueleza yaliyoko huko,
hii yote ni mitazamo mbalimbali kuhusu kifo jinsi watu wanavyo tizamia kutokana na imani zao. LAKINI HAKUNA NADHARIA YENYE UHAKIKA KUHUSU KIFO NA MAISHA BAADA YA KIFO

hakuna nadharia yoyote?? Je hizi iman ambazo watu wapo tayari kufa kwa ajili yake hazina maana?
 
Umechambua vema nawewe independent view yako ni ipi kuhusu kifo.
Kanitembelee kule kwenye mambo ya powers, mimi ni positive thinker ninayeamini Mungu na alipotuumba alitupa uwezo wa kiMungu ku[itia "powers from within!" ambapo chochote utakacho unapewa!, ukiamini kufa, unakufa!, usipoamini kufa hufi!.
Pasco.
 
maisha ni system tu kama vile mzunguko wa Photosynthesis,tu again,tuna loose,tuna zeeka na kufa(hali ya kutokuwa na uhai).mambo ya enternal life,sijui hukumu na moto ni hadithi za uoga wa binadam juu ya kitu KISICHOPO,na HAKITAKUWEPO,

mwanadam baada ya kujikuta akiwa hai na mwendelezo wa maisha unaendelea ndo anaanza kujiuliza nn asili yake na nn hatima yake.??,hapa mwanadam ndo amaanza kubuni hadithi na kuanza kuandika mambo ambayo mtu anapaswa kufanya na yapi ni mabaya.hapa ndo tunapata vitabu kama Biblia,na Quran n.k. Lakin chanzo cha haya yote ni HOFU,ya mwanadam juuu ya uwepo wake.

Kwa maana hiyo basi elewa kwamba hakuna maisha baada ya haya na ukifa ndo imetoka unakuwa umekamilisha mzunguko.najua utaniuliza swali juu ya haya mambo yote tuyaonayo hapa ulimwenguni,haya mambo yapo kwa sababu yapo na si lazima kuwe na mwanzilishi wala msimamizi,ndo mana hakuna hata siku moja kajitokeza na kusema mimi ndiye ila hofu yetu ya kwamba yupo ndo inatufanya tumtaje tusiyemjua wala kumwona.
usiamini katika mafundisho ya upotishaji kwa kutumia hadithi za maisha ya wayahudi na waarabu.ndo mana hata ile mnaita biblia imejaa mila na desturi za wayahudi na sio jamii nyingine na wao wamefanikiwa kuiitangaza imani yao ndo mana wakristu ni wemgi sana.pia waarabu kwa upande wao wamefanikiwa japo walichelewa miaka 632,baada ya yule waliemwita yesu aliebadilisha kalenda na ndo mana leo ni mwaka 2013,na biblia inasema enzi za nuhu ni miaka mwaka 260 kabla ya yesu,kwa hiyo ni miaka 240kisha yesu kazaliwa lakini hapo kati kulikuwa na akina mussa,ibrahim,issac n.k.,na ukirudi nyuma kidogo mwaka 106-230.C utakutana na akina solomon,,lakini pia ukirudi nyuma mwa 9,unakutana na story ya uumbaji!!!! leo hiii twajua kabisa kwamba ulimwengu umekuwepo miaka milioni nyingi sana ,na viumbe vimetokea miaka mingi sana pia.sasa changania akili.tafuta kitabu changu kinaitwa.free ideaz utafumbuka macho

Mh... Huu ni upotoshaji. Mtu aliyepumbazwa hata akipewa ukweli na ukawakwa juu ya jicho lake hua hauoni kabisa. hata kama ukweli ni ni kiongo chake mwenyewe lakini bado hua haoni... Aliye pumbazwa anaitwa --------. na ndio maana Mungu akasema "-------- anasema moyoni mwake, ‘‘Hakuna Mungu.’’ Wameharibika," (Zaburi 14:1)

ndio nyie mnakubali eti "energy can never be created no destroyed" alaf then mnakataa kua "God was never created nor can He destroyed".

sasa naomba uwaambie na wenzako na mujibu haya maswali tafadhari jibu haya maswali madogo tuu. na wala usiyakimbie.

0. how do you know about mind?. can you explain what is mind?. is it physical?.
1. do you have mind?
2. what is nature of your mind?.
3. can your mind be seen?. can we all see your mind directly?. is it invisible or visible?. can it be touched?.
4. what is the different between mind and brain?.
5. your head possess a brain. what is the location of your mind?.
6. can you show us the presence of mind in your brain?.
7. prove to us that you have mind?. tupe ushahidi usiopingika kwamba you have mind?.

check haya maswali vizuri then check na hayo majibu yako...
 
hakuna nadharia yoyote??

Mkuu, nadharia ziko nyingi sana kuhusu kifo na maisha baada ya kifo, nafikiri baadhi zimechambuliwa vizuri na Pasco, nilichomaanisha ni kwamba kati ya hizo nadharia nyingi Hakuna hata moja ambayo ni ya uhakika (yenye ushahidi wa kutosha usiopingika)

Je hizi iman ambazo watu wapo tayari kufa kwa ajili yake hazina maana?

Kuhusu imani kuwa na maana au kutokuwa na maana inategemea na wanaoamini imani husika,Wanaoamini huona imani zao zina maana na ni bora kuliko nyingine lakin upande mwingine wasio amini huona imani hazina maana yoyote.
 
Mh... Huu ni upotoshaji. Mtu aliyepumbazwa hata akipewa ukweli na ukawakwa juu ya jicho lake hua hauoni kabisa. hata kama ukweli ni ni kiongo chake mwenyewe lakini bado hua haoni... Aliye pumbazwa anaitwa --------. na ndio maana Mungu akasema "-------- anasema moyoni mwake, '‘Hakuna Mungu.'' Wameharibika," (Zaburi 14:1)

ndio nyie mnakubali eti "energy can never be created no destroyed" alaf then mnakataa kua "God was never created nor can He destroyed".

sasa naomba uwaambie na wenzako na mujibu haya maswali tafadhari jibu haya maswali madogo tuu. na wala usiyakimbie.

0. how do you know about mind?. can you explain what is mind?. is it physical?.
1. do you have mind?
2. what is nature of your mind?.
3. can your mind be seen?. can we all see your mind directly?. is it invisible or visible?. can it be touched?.
4. what is the different between mind and brain?.
5. your head possess a brain. what is the location of your mind?.
6. can you show us the presence of mind in your brain?.
7. prove to us that you have mind?. tupe ushahidi usiopingika kwamba you have mind?.

check haya maswali vizuri then check na hayo majibu yako...

Ngoja tumsubiri aje ajibu, lakini sidhani kama haya maswali yanathibitisha lolote kuusu uwepo wa Mungu
 
naomba nifuatilie kwa makini sana... this will solve many problems to many...

INTRODUCTION
GOD IS A SPIRIT.(John 4:24)​

GENERAL CHARCTERISTICS OF A SPIRIT BEING.
1. A spirit has no gender (Matthew 22:30)
2. The spirit is not made of physical material. Therefore the spirit is invisible in a physical realm (Hebrews 11:6)
3. The spirit possesses a mind. The spirit and mind are of the same essence. The mind is a composite of the spirit. Mind is a part of a spirit. Therefore all spirits have mind.
4. Spirit possess a will. Will is transferred into the mind. The mind helps the will to manifest. And the manifested will is called "choice". Choice is the manifested will. Therefore a will is what give birth a "choice"
5. All spirits have a power of choice. Because they are not robots. They have their own wills.
6. The spirit being is not restrained by the laws of physics. Therefore a spirit can be any place at no time. The spirit has the speed more than that of light. Because they are not of physical material nature. E.g imaginations
7. Since the spirit has no gender… therefore the all spirits created by God cannot reproduce. No marriage (Matthew 22:30)
8. A will is generated from inside the spirit. And it is processed inside the mind. Therefore choice is generated by the mind.
9. The medium interconnection between the spirit and mind is called heart. In philosophy it is called subconscious mind. And a spirit is called "supper-conscious" mind. (Gen 6:5-6, Gen 8:21)
10. Things are written inside the heart and some storages occurs inside the mind. (Jer 31:33)
11. Many species of spirits created by God lives in a spiritual realm. The physical realm was designed by God to be dominated by the spirits from through the power of His Spirit.
12. God is eternal. Also he created spirits to be eternal. Therefore the spirit beings lives forever from the day they were created. (Please know that God always obeys His laws. He designed spirits to live forever. Therefore He will not kill them even though he have the power to do so. God is able to kill the spirit by using only His words… see Hebrews 4:12)
13. All spirits were created by God.
14. The presence of a spirits means the presence of life.
15. Heart is the center where wills from deep inside the spirit and intellect from the mind are processed and stored

THE MEANING OF A SOUL​
The soul is the "conscious" combination of wills generated deep inside the spirit, intellect available in the mind, and emotions generated by the chemical reactions of the physical body. Therefore it is a combination of wills, mind and emotions. (gen 2:7)
1. A soul include a body with its consciousness (1peter 3:18-20)
2. A spirit excludes consciousness of the physical body
3. The spirit is conscious even if it doesn't possess a physical body. E.g. Angels or God himself.

NB. THE ABOVE THINGS ARE TOO DEEP TO BE UNDERSTOOD BY SOME PEOPLE... SO ULIZENI AMBAPO HAMTA ELEWA....

kuna kufa kwa aina mbili... 1. kufa kiroho = kupoteza Roho Mtakatifu mwilini (siku ile ile ya dhambi... adam alipoteza Holy Spirit). na 2. Kufa kimwili= kurudi mavumbini... Mtu akifa (kimwili) simply means roho yake imeucha mwili wake.

sasa mtu akifa kimwili... roho yake huenda kwenye spiritual realm... hiyo location ya huko kwenye spiritual world bible imeiita "kifungoni" yaani "prison".

angalia hapa... For Christ also has once suffered for sins, the just for the unjust, that he might bring us to God, being put to death in the flesh, but made alive by the Spirit: By whom also he went and preached unto the spirits in prison; Who formerly were disobedient, when once the longsuffering of God waited in the days of Noah, while the ark was being prepared, by which a few, that is, eight souls were saved through water. (1Peter 3:18-20)

alafu tena inasema "For this cause was the gospel preached also to them that are dead, that they might be judged according to men in the flesh, but live according to God in the spirit" (1Pe 4:6)

hapana siku ya hukumu ni moja (Christ atakapo rudi tena)... see Revelation.

huu ni uongo wa hali ya juu because A spirit has no gender. angalia hapa imeandikwa "For in the resurrection they neither marry, nor are given in marriage, but are as the angels of God in heaven" (Matthew 22:30)

NDIO; kwasababu Binadamu ni roho mwenye mwili uliotengenezwa kutoka muvumbini (genesis 1:26, 2:7). Na roho hafi. Mungu aliumba roho zote na uwezo wa kuishi milele. (Shetani ni roho. Ndio maana Mungu hamuui shetani pamoja na kwamba anaweza kafanya hivyo kwa kutumia neno lake tuu (Hebrews 4:12)). Ndio maana kuna ufufuo, na ndio maana ilibidi Mungu atengeneze dustbin ya roho wote walio misuse their power of choice – Hell. For God will never violet his words.

Since the man is not a robot…Adam misused his power of choice and sinned. The same day Adam ate that tree…he become spiritually dead. We lost spiritual qualities and it followed by loss of original qualities of our bodies. And hence physical death followed. And through the principle of inheritance "by one man sin entered into the world, and death by sin; and so death passed upon all men, for that all have sinned" - (Romans 5:12).

TO UNDO THIS SIN, Jesus was born sinless. Therefore, death had no power over Him. In order for Him to die, He had to receive all our sins so that death could have power over Him. Sasa, the very moment Jesus received our sin… God left him directly, and on that moment Jesus cried out loudly saying "My God, my God, why have you forsaken me?" (Mark 15:34).

I THINK INATOSHA FOR NOW.
Mkuu String Theorist, asante sana kiukweli uko deep!, hata mimi umenisaidia sana kumjua zaidi Mungu na kumjua shetani, nilitengeneza theory zangu mbili, moja umenifumbua I was wrong, ya pili bado sijapata ufumbuzi na sasa nadhani nitaupata kwako.

Theory ya kwanza ilikuwa Mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani. Mungu ana nguvu zaidi ya shetani ila hawezi kumuangamiza shetani!. Leo ndio nimejua Mungu alimuumba shetani ila hamuangamizi kwa sababu fulani!, ila hili la kuupenda ulimwengu hadi kumtoa mwanae kuja kuukomboa dhidi ya shetani kisha shetani akamjaribu, akamtesa, akamsulubisha msalabani hadi kufa kifo cha aibu nikifikiri Mungu hamuwezi shetani, kumbe kuna sababu!.

Theory pili, ni dhambi ya asili, lile tunda ni sexual temptation na ni shetani aliliweka baada ya makubaliano na Mungu. Mungu akawakataza Adam na Eva wasifanye!, shetani akamdanganya Eva, akamfanya ndio acanceive Cain, kisha Eva akamshawishi Adam kumega ndipo akazaliwa Abeli!, tendo hilo ndio dhambi ya asili, yaani asili ya ili uzaliwe lazima tendo lifanyike!. Mtu pekee aliyekingiwa dhambi ya asili ni Bikira Maria kwa kumzaa Yesu bila kufanywa hilo tendo, hivyo Yesu ndio pekee amezaliwa bila dhambi ya asili kwa sababu ni Mungu pamoja nasi!. Jee niko right?!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom