TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,920
- 11,322
- Thread starter
- #61
MTM kinachokusibu ni kitu kidogo sana. Unaweka bad memories baadala ya nzuri kingine ni kwamba husamehi wala husahau. Ebu niambie what is beyond love? Kama Mungu aliupenda ulimwengu na kumtoa mwanae mpendwa afe msalabani kwa ajili yetu, why can't you forgive and forget. Kama
Kaa chini leo ukumbuke mambo yote mabaya uliyowahi kumfanyia mtu, kufanyiwa mwambie mungu wako ayatoe moyoni mwako ukimaanisha. Kesho ukija hapa umebadili msimamo wa maisha yako.
You only miss tolerance!
I pray for you this night!
Amen sis
AMEN!!!