Life after a very sweet love/relationship

All i see here is framed mind!!Kila mtu anajiuliza na anataka uhusiano ulio bora,tuna wataalam,watu wenye busara na vitabu vya dini but matatizo yanazidi kuongezeka,have u ever ask yourself why?
 
both emotional and physical abuse is a NO NO! tena mimi naamini u ar nt even doing ur kids a favor kwa kukaa kwenye abusive relationships! angalia watoto wanaolelewa na wazazi wanaopigana ama kutukanana! MTM watoto wanazaliwa na ubongo mpya kama laptop ama simu mpya. it has the basics tu! what u feed is what will come out! mi nadhani siku nikilambwa kibao tu ndo itakuwa mwisho,i dont need anybody's advise! i will just inform my parents of the move!

You are going to be a great mom if you are not already one.... I love this post....
 
You once commented in one of the threads that if not your wife... You would have been lost in life and would have been in worst conditions - which showed you acknowledge her (even if you do not love her - I am not saying you don't)... I was so proud on behalf of your wife that day na told my self.. this is the MAN anajua ana great madhaifu, but knows he is nothing bila the wife no matter if there is some useless person pembeni.... MTM Pal... that post over two months ago is the only reason i am not worried about you right now.... for i already know you have a rational mind... and YES there is a GREAT possibility in Blue.... Hivo i would have to say THANK YOU for the useful thread.... And handle your heart with care.....
Una kumbukumbu sana, nakumbuka pia hii, hii thread nasoma taratibu sana nimechelewa kuingia, kwa kweli itasaidia wengi
 
Wait a minute BB Hivi kuacha mara nyingi ndio kusema huna furaha?? sio kwamba you have more options and you are a happier person for moving on when you want?
Kaka naona there is something that u think you are not getting OUT THERE. Wengine husema I was young when I decided to marry u Wakifikri kwa wengine kuna cha ziada and they end up forming children who do not respect humanity for example they take sex or drugs as refuge . Asikwambie mtu kukosa both parents love is not recovered at all. I had a friend here who missed parents love and she was suffering from depression and sometimes she does crazy decisions and in that way she could not go on with her education. NOW MTM DO NOT MAKE YOUR KIDS SUFFER BE CREATIVE IN YOUR RELATIONSHIP
 
Kila ndoa ina unique experiences na challenges. Mimi nimejifunza kuwa ninapokuwa na hasira i always consider myself right and my hubby wrong; na ni kweli unakuta hubby ugomvi yeye ndo kaulipua lakini si yeye peke yake ni chanzo. Lakini baada ya muda nikirudia mafaili nagundua katika maugomvi yote na mimi nimechangia. It takes two to make a relationship and two to break it not one. Jaribu kufikiri ugomvi uliotokea kati yako na mwenza wako na ufanye analysis ya role uliyo play kuuzima au kuuchochea huo ugomvi.

Nikiwa mdogo mama yetu alikuwa na tabia ya kutuchapa tukigombana. Staili alokuwa anatumia tulikuwa tunaona siyo fair kwani alikuwa hana muda wa kuuliza nani kamchokoza nani. Ni fimbo wote tena sawa sawa. Yani hiyo ilikuwa given mkipigana mama akawabamba jueni ni wote kibano. Sasa nikichanganya na hili naanza kumuelewa. Nadhani alikuwa anaona kuwa hata kama umechokozwa huna justification ya kupigana, you could walk away. Je na sisi kwenye maisha tunakumbuka hilo? Je tunawahoji wenza wetu kwa upendo sababu za kutukosea?? Si kwamba mimi naweza kufanya hivi ila natambua kuwa ni weakness ya binadamu hence am working to defeat it.
 
Now this is what is called 'Majuto' ......and Majuto inamaanisha kama usingefanya kitu flani then ungekuwa bado uko happy....tafsiri yangu katika hili ni kuwa inawezatokea miujiza akarudisha moyo nyuma and taking into account kuwa una'regret' chance ya kurudisha furaha yako ni kubwa.

Mwj1,...kwa experience yangu (yaliyonitokea) baada ya kudaiwa talaka ilikuwa pigo kwenye maisha yangu, hapo wala sikatai. Siwezi kuelezea hisia na machungu yake, kwani nimetumia miaka zaidi ya mitano nikiomboleza kitendo hiko. Sio kwakuwa ati nilimpenda sana la hasha...ila ile dira na nuru ya maisha yangu ilitoweka. Naomba kuishia hapa, ...it's way too painful kuyakumbuka na kuelezea niliyopitia kiasi kwamba, chance ya kurejeana nae ni pungufu ya 0.0001%

well i had one

and i have finally found out where she is after 18 years

...friends Reunited eeh? acha kabisa mchezo huo kaka.
The day you'll sit together and start piecing together the jigsaw puzzle,
.... ...You'll realize some pieces missing
and the essentials 'chipped or bent'...
 
both emotional and physical abuse is a NO NO! tena mimi naamini u ar nt even doing ur kids a favor kwa kukaa kwenye abusive relationships! angalia watoto wanaolelewa na wazazi wanaopigana ama kutukanana! MTM watoto wanazaliwa na ubongo mpya kama laptop ama simu mpya. it has the basics tu! what u feed is what will come out! mi nadhani siku nikilambwa kibao tu ndo itakuwa mwisho,i dont need anybody's advise! i will just inform my parents of the move!

Wewe ni wa kutandikwa mboko tu.
 
Wakuu,

Many of us have at least once enjoyed the best out of love life... I have had my best moments as well!!

I am just wondering how can one prepare for a life after the person you have loved and enjoyed life with for 10+ years, have you ever imagined how it feels?

MTM

Warning: Lengo la hii post ni kwamba isieleweke, kwahiyo kila ikiwa hujaielewa ujue ndio umeielewa vilivyo, na pia naomba nichangie kwa kiswahili kwavile dikshineri langu limeibiwa ndani ya mwezi mtukufu (uswahilini bana!)

Mkuu MTM, kila nikiisoma hii post yako na kuangalia hayo maneno ya kwenye red naona "u are not ready to face it bro",

Lawyer klorokwini anasema:

-Unapanga maamuzi ya kuacha wakati post yako imejaa mapenzi, Kumbuka, kinachoamua mwisho wa ndoa/ mapenzi sio mateso/udhia/cheating wala chochote chengine bali kinachoamua mwisho wa mapenzi ni moyo (na nadhani moyo wako hauko tayari as per ur post).

-Sweet memories (as u call them), zina mateso ya kisaikolojia zaidi kuliko mateso unayoyavumilia sasa (This apply only kama umemwacha mtu bado unampenda regardless ya maudhi yake)......... (reference: Kesi nilioisimamia kinshasa wakati wa probation)

- Waswahili wanasema "mpenda chongo huita kengeza", hayo unayoyaona maudhi sasa hivi (kama unaetaka kumuacha bado unampenda) basi aftermath yake utakuja kujiona umeyasababisha wewe na sio yeye kama unavyoona sasa....... (Source: waifu wa jirani)

- Ukitoka kwenye hayo mahusiano ujue jamii ina nafasi kubwa ya kukuhukumu na hujui watakuhukumu vipi na trust me hukumu ya jamii itaathiri kurudiana na mwenza wako so kama sio moyo wako unaoamua ni vyema ukabadilisha uamuzi kabla ya kujiwekea road block ya marejeano........... (Source: tarabu za uswahilini)

- Did u say sweet love? sweet relationship in ur title?, trust me this title will hunt u forever! (And unfortunately there is no sweet feelings eraser even a chinese one..)........ (hii ni Kwa hisani ya mwalimu wangu wa fiziks ambae somo lake nilipata F+)

- Ushauri huu nimekupa kwavile kila nikisoma post yako sioni kwamba u r strong enough to face it.

Dah! kumbe niko JF? nilizani niko bungeni najibu masuala ya wabunge wa upendeleo aisee! halaf muda wangu wote wa hapa cafe nimeutumia kuandika post moja tu. khaaaa!

NB: Msinitafute, niko bize nahubiri mapenzi kwa vitendo.

..................................................THE END........................................
 
Terrible...Your life will never been the same again.
Sawa na nguo, endelea kuweka viraka bana.
Am talking through Experiences.

Hata ujiandae vipi, huwezi fidia hiyo miaka kumi+ 'unayofikiria' kuitia pipani.

Hii post mbona uliitoa mapema mkuu Mbu? hii ilitakiwa iwe konklushen ya hii sred aisee.
Hakyababu atakaepinga hii post ya Mbu atakuwa amevunja sheria za JF.
 
All i see here is framed mind!!Kila mtu anajiuliza na anataka uhusiano ulio bora,tuna wataalam,watu wenye busara na vitabu vya dini but matatizo yanazidi kuongezeka,have u ever ask yourself why?
its because the world is dynamic.... have you ever imagined how Jesus or Muhammad SAW would struggle with all these twitters, facebook, JF, I-reports, www, Tv etc?

Well our generation suffers something relating to advancement of technology which lead to unforeseen demand to respond to higher authorities za dunia which slowly leach all the nutrients out of the family core!!!

THAT IS HOW I ANSWERED WHY!!
 
Kaka naona there is something that u think you are not getting OUT THERE. Wengine husema I was young when I decided to marry u Wakifikri kwa wengine kuna cha ziada and they end up forming children who do not respect humanity for example they take sex or drugs as refuge . Asikwambie mtu kukosa both parents love is not recovered at all. I had a friend here who missed parents love and she was suffering from depression and sometimes she does crazy decisions and in that way she could not go on with her education. NOW MTM DO NOT MAKE YOUR KIDS SUFFER BE CREATIVE IN YOUR RELATIONSHIP

tThanks for this useful advice.... what about great men and women who were brought by just one or no parent at all???? theya re all over the place

BTW... som fasihi uelewe the theme here
 
...friends Reunited eeh? acha kabisa mchezo huo kaka.
The day you'll sit together and start piecing together the jigsaw puzzle,
.... ...You'll realize some pieces missing
and the essentials 'chipped or bent'...

I love this post!!! bitter-sweet.... rainbow... huh???

They say the circle has just one side.... do you agree??
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Warning: Lengo la hii post ni kwamba isieleweke, kwahiyo kila ikiwa hujaielewa ujue ndio umeielewa vilivyo, na pia naomba nichangie kwa kiswahili kwavile dikshineri langu limeibiwa ndani ya mwezi mtukufu (uswahilini bana!)

Mkuu MTM, kila nikiisoma hii post yako na kuangalia hayo maneno ya kwenye red naona "u are not ready to face it bro",

Lawyer klorokwini anasema:

-Unapanga maamuzi ya kuacha wakati post yako imejaa mapenzi, Kumbuka, kinachoamua mwisho wa ndoa/ mapenzi sio mateso/udhia/cheating wala chochote chengine bali kinachoamua mwisho wa mapenzi ni moyo (na nadhani moyo wako hauko tayari as per ur post).

-Sweet memories (as u call them), zina mateso ya kisaikolojia zaidi kuliko mateso unayoyavumilia sasa (This apply only kama umemwacha mtu bado unampenda regardless ya maudhi yake)......... (reference: Kesi nilioisimamia kinshasa wakati wa probation)

- Waswahili wanasema "mpenda chongo huita kengeza", hayo unayoyaona maudhi sasa hivi (kama unaetaka kumuacha bado unampenda) basi aftermath yake utakuja kujiona umeyasababisha wewe na sio yeye kama unavyoona sasa....... (Source: waifu wa jirani)

- Ukitoka kwenye hayo mahusiano ujue jamii ina nafasi kubwa ya kukuhukumu na hujui watakuhukumu vipi na trust me hukumu ya jamii itaathiri kurudiana na mwenza wako so kama sio moyo wako unaoamua ni vyema ukabadilisha uamuzi kabla ya kujiwekea road block ya marejeano........... (Source: tarabu za uswahilini)

- Did u say sweet love? sweet relationship in ur title?, trust me this title will hunt u forever! (And unfortunately there is no sweet feelings eraser even a chinese one..)........ (hii ni Kwa hisani ya mwalimu wangu wa fiziks ambae somo lake nilipata F+)

- Ushauri huu nimekupa kwavile kila nikisoma post yako sioni kwamba u r strong enough to face it.

Dah! kumbe niko JF? nilizani niko bungeni najibu masuala ya wabunge wa upendeleo aisee! halaf muda wangu wote wa hapa cafe nimeutumia kuandika post moja tu. khaaaa!

NB: Msinitafute, niko bize nahubiri mapenzi kwa vitendo.

..................................................THE END........................................
hahaaaaaaaaaa, swahiba... as always... you bring something special onboard

Hiyo ya red ni funga kazi na if you have read almost all posts around hapa... tumekabidhi degree zote kwa majirani ndugu na jamaa na tumebaki na misongo au furaha za ndani

Now back to the whole post... Nilifundishwa na mwalimu Majura (kiswahili) nikiwa form four Tambaza kwamba when you want to part... remba the past for you to be recongised kwamba you had no option... and in fact you didnt make a mistake in the first place... ni kwamba to PESTLE ilibadilika as time passed

Its just like a regret letter ... always sweet and encouraging while an offer letter has just three sections... title, JD and benefits/salaries

LOL:horn:
 
nk, u made me shed a tear here. hii ndo ilikuwa rule ya nyumbani kwetu,tofauti ni kuwa kesi inafanyika kwanza afu wote mnapata mboko za kuwatosha.nilikuwa najiuliza kuna haja gani ya kufanya kesi wakati wote tutachapwa? leo umenipa jibu,and i can see ina-reflect maisha yetu sasa. whatever the reason,provoked or nt, there is no reason to get physical. na both parents walisisitiza 'huyu ni ndugu yako! u will love and accept him/her no matter what!'. thanks big house, u made sense!
Nikiwa mdogo mama yetu alikuwa na tabia ya kutuchapa tukigombana. Staili alokuwa anatumia tulikuwa tunaona siyo fair kwani alikuwa hana muda wa kuuliza nani kamchokoza nani. Ni fimbo wote tena sawa sawa. Yani hiyo ilikuwa given mkipigana mama akawabamba jueni ni wote kibano. Sasa nikichanganya na hili naanza kumuelewa. Nadhani alikuwa anaona kuwa hata kama umechokozwa huna justification ya kupigana, you could walk away. Je na sisi kwenye maisha tunakumbuka hilo? Je tunawahoji wenza wetu kwa upendo sababu za kutukosea?? Si kwamba mimi naweza kufanya hivi ila natambua kuwa ni weakness ya binadamu hence am working to defeat it.
<br />
<br />
 
I am very happy King'asti and Nyumba Kubwa are bringing a new dynamics to who is responsible when things go wrong in relationships

Ni kwamba lazima muwe responsible...
 
Warning: Lengo la hii post ni kwamba isieleweke, kwahiyo kila ikiwa hujaielewa ujue ndio umeielewa vilivyo, na pia naomba nichangie kwa kiswahili kwavile dikshineri langu limeibiwa ndani ya mwezi mtukufu (uswahilini bana!)

Mkuu MTM, kila nikiisoma hii post yako na kuangalia hayo maneno ya kwenye red naona "u are not ready to face it bro",

Lawyer klorokwini anasema:

-Unapanga maamuzi ya kuacha wakati post yako imejaa mapenzi, Kumbuka, kinachoamua mwisho wa ndoa/ mapenzi sio mateso/udhia/cheating wala chochote chengine bali kinachoamua mwisho wa mapenzi ni moyo (na nadhani moyo wako hauko tayari as per ur post).

-Sweet memories (as u call them), zina mateso ya kisaikolojia zaidi kuliko mateso unayoyavumilia sasa (This apply only kama umemwacha mtu bado unampenda regardless ya maudhi yake)......... (reference: Kesi nilioisimamia kinshasa wakati wa probation)

- Waswahili wanasema "mpenda chongo huita kengeza", hayo unayoyaona maudhi sasa hivi (kama unaetaka kumuacha bado unampenda) basi aftermath yake utakuja kujiona umeyasababisha wewe na sio yeye kama unavyoona sasa....... (Source: waifu wa jirani)

- Ukitoka kwenye hayo mahusiano ujue jamii ina nafasi kubwa ya kukuhukumu na hujui watakuhukumu vipi na trust me hukumu ya jamii itaathiri kurudiana na mwenza wako so kama sio moyo wako unaoamua ni vyema ukabadilisha uamuzi kabla ya kujiwekea road block ya marejeano........... (Source: tarabu za uswahilini)

- Did u say sweet love? sweet relationship in ur title?, trust me this title will hunt u forever! (And unfortunately there is no sweet feelings eraser even a chinese one..)........ (hii ni Kwa hisani ya mwalimu wangu wa fiziks ambae somo lake nilipata F+)

- Ushauri huu nimekupa kwavile kila nikisoma post yako sioni kwamba u r strong enough to face it.

Dah! kumbe niko JF? nilizani niko bungeni najibu masuala ya wabunge wa upendeleo aisee! halaf muda wangu wote wa hapa cafe nimeutumia kuandika post moja tu. khaaaa!

NB: Msinitafute, niko bize nahubiri mapenzi kwa vitendo.

..................................................THE END........................................

Shemeji nimekukubali!! Naomba uwe wakili wangu kuanzia sasa.
 
Wakuu,

Many of us have at least once enjoyed the best out of love life... I have had my best moments as well!!

I am just wondering how can one prepare for a life after the person you have loved and enjoyed life with for 10+ years, have you ever imagined how it feels?

MTM

Duh kamanda hapa ndipo tunapo sema acha Mungu aitwe Mungu. Yatajiset yenyewe
 
KAMANDA
hakiachwi kitu, tuliachia mungu tukaishia kumchagua kikwete

miaka hii kila kitu kinahitaji in epth analysis mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom