BlackBerry
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 1,839
- 956
Ndio MJ1 si umeona hata threads hapa ilisema mambo ya kuoana kwa kuoneana huruma, yaani mtu anaona kabisa love haipo lakini anaoa/olewa sababu tu kaonea mtu huruma, hii inaweza work kwa mwanamke, coz wanawake tunaweza fall on the process, wenzetu huwa tangu mwanzo wanajua wanataka nnDuh maneno mazito haya........so kuna uwezekano mkubwa kuwa watu wengi huingia kwenye dunia hii na kutoka pasipo kuexperience true love maishani mwao eh?!! Naogopa