Leticia Nyerere: Manpower productivity inapotea kwa kutengeneza majungu katika mitandao

Ileje

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,798
12,240
Mbunge machachari wa CHADEMA Leticia Nyerere akichangia hoja ya bajeti amedai kuwa wafanyakazi wengi wanashindwa kutoa tija ya kutosha kwa kupoteza muda mwingi katika mitandao wakitengeneza majungu!

Mwana JF tafakari!
 
Ni kweli
 
mmmh! Au kwasababu kuna thread tulimjadili juu ya kuishi kwake mamtoni huku anatuwakilisha sisi tunaoishi tandale kwatumbo?
 
Amesema vizuri, Je kesi yake imekwisha au ni watu kwenye mitandao wanapika majungu?
 
Anaongea ukweli huyu mbunge wapika majungu ni wengi sana, wenye nia ya kuchafua viongozi mara utasoma mbowe kafanya nini, sijui slaa kupotoka, mara pinda sijui katupiwa kitenesi, mara zito hajasoma bajeti vizuri wengine watakwambia jk sijui kafanya nini lakini vyote vikiwa ni nia ya kuchafua na kupotosha wananchi juu ya viongozi wao
 
ni kweli jf ni wengi saana sijui wanafanya kazi saa ngapi au hawa ni wale watoto wa kugongewa kengele kwa washua " msosi tayari"
 
Wengi tunajuwa hili,lakini kwa upande mwingine kuna maslahi ya JF.Hapo ndo pagumu.Kama ni wafanyakazi wa serikali,inabidi liangaliwe kwasababu ni utumishi kwa wananchi,na kama ni makampuni binafsi,hilo ni juu yao kujaribu kudhibiti kama linazorotesha productivity ama efficiency.

Siyo wafanyakazi wote wanaoweza kuji control,ndo maana kuna rules and regulations,unless anazungumzia hao wa "kengele msosi tayari" kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu.
 
mpika majungu mkubwa ni Lweitama Shivji na wana Harakati walipewa mafunzo ya kuandika ujingwa kuwajaza wa Tanzania ili kutimiza mradi wa conservative party
 
Fanya tathmini ya Ritz na JF(MMU, siasa, Celebrity), FB page za (Nape, JK, M/ Mchemba,),Twitter, Linkedin, Le Mutu blog, nk nk blogs alafu fatilia aina ya komenti anazochangia utapata kuelewa nini Leticia anasema
 
Wengi tunajuwa hili,lakini kwa upande mwingine kuna maslahi ya JF.Hapo ndo pagumu.Kama ni wafanyakazi wa serikali,inabidi liangaliwe kwasababu ni utumishi kwa wananchi,na kama ni makampuni binafsi,hilo ni juu yao kujaribu kudhibiti kama linazorotesha productivity ama efficiency.

Siyo wafanyakazi wote wanaoweza kuji control,ndo maana kuna rules and regulations,unless anazungumzia hao wa "kengele msosi tayari" kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu.

Serikali haina fedha za kuendesha ofisi, haina vitendea kazi kwa watumishi wake na hakuna mipango iliyopangika na kutekelezeka. Kazi zote ni za dharura na mara nyingi zinawahusu wakubwa ambao utakuta wanahangaika kama zima moto.

Sasa unataka watumishi wafanye nini kama si kujiburudisha na kuvuta muda katika mitandao kwa kuwa wanalazimika kukaa ofisini saa zote za kazi!
 
Ni kweli kwa baadhi ya watu! Binafsi nawashangaa wanaotumia muda mwingi ku design picha na maneno mengi yasiyo na tija. Ni vizuri tuutumie mtandao kufanya ya maana kama kupata na kutoa information zenye msaada wa watu... Big up Mheshimiwa!
 
Mbunge machachari wa CHADEMA Leticia Nyerere akichangia hoja ya bajeti amedai kuwa wafanyakazi wengi wanashindwa kutoa tija ya kutosha kwa kupoteza muda mwingi katika mitandao wakitengeneza majungu!

Mwana JF tafakari!

ni kweli social media imepunguza sana ufanisi wa kazi bt sio hapa kwetu tu bali kila mahali....facebook,twitter,forums hizi zinapoteza sana mda wa kazi na BBM nayo
 
Back
Top Bottom