Leo Wakuu ni Kufunguka Kuhusu Wahaya Unavyowajua!

hawa nasikia ni watu wenye upeo mkubwa wa mambo na ndio waliotoa mmiliki wa kwanza wa hospitali kubwa na Chuo Kikuu binafsi cha kwanza Afrika Mashariki (kusini mwa jangwa la Sahara!!???) ...Hubert Kairuki! Ambapo baadae ilifuatiwa na Kampala University!

Bisheni hapo wakuu!!!
 
Wahaya kwa mbwembwe hawana mpinzani,jamaa ni mhudumu wa mochuali sasa anavyojitambulisha kwenye harusi,my name is Kamugisha am working with Muhimbili,infact professionally nawahudumia watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kunusuru uhai wao.

ha ha ha toba mbavu zangu
 
Wahaya mpe UMENEJA mshahara hata ukimpa laki 2 poa tu!!!!

nafikiri ujafanya utafit wako vizuri.wahaya weng ni wapenda haki hivyo uonevu awataki kabsa.kuhusu wapenda madaraka bila ata malipo hawa ni Waha,hawa wanaongoza kwa kupenda vyeo,majungu,kujipendekeza.wengine ni wafipa...hawa misifa sana na wakikosa madaraka utawahurumia
 
Nina mkosi na mademu wakihaya, kati ya ma-girlfrnd wangu 10, saba ni wahaya. Wanajua mapenzi, hodari wa style...mnafanya mapenzi hata kwenye gari, jikoni na sebuleni! Tatizo lao ni ma-cheaters waliobobea. Jamaa ake km ni kabila lake atakwambia ni kaka yake. Wana ushauri mzuri ila wanapenda maisha ya kifahari.
 
Nchi ambazo ukienda uwakosi ni uingereza na marekani wapo kwa wingi sana,chuo kama oxford na vyingine vilyo mashuhuri.Wanapohitiu huwa awarudi huku,na wakirudi Utawakuta katika sekta nyeti sana.Na ndo kabila la kwanza kupata Elimu tz ikifatiwa na chagaz pamoja na wanyakyusa.endelea na wewe uwanja huo apo.......
 
nafikiri ujafanya utafit wako vizuri.wahaya weng ni wapenda haki hivyo uonevu awataki kabsa.kuhusu wapenda madaraka bila ata malipo hawa ni Waha,hawa wanaongoza kwa kupenda vyeo,majungu,kujipendekeza.wengine ni wafipa...hawa misifa sana na wakikosa madaraka utawahurumia

Wafipa hapana umeingilia mlango wakutokea!
 
wahaya hawana haya. Ukimwi Tanzania umeanzia kagera ukitokea Uganda.

Ni kweli wahaya hatuna haya hasa kwa wajinga na wapumbavu ambao pamoja na kupitia darasani bado wameganda kwenye kauli 'za vijiweni na vibaraza vya uswahilini'.Siwezi kuona haya kukuita mpumbavu!
 
Back
Top Bottom