Leo Wakuu ni Kufunguka Kuhusu Wahaya Unavyowajua!

akodingili - accordingly
wanu - one
byakura bya nazi - vyakula vya nazi
nyegera waitu- wakora kasinge hawajifichi
 
Wanapenda Misifa ya kijinga wakati kagera ni mkoa maskini tz. Ila kwenye ngono nimewafaidi sana watamu kweli.
 
Wahaya kwa mbwembwe hawana mpinzani,jamaa ni mhudumu wa mochuali sasa anavyojitambulisha kwenye harusi,my name is Kamugisha am working with Muhimbili,infact professionally nawahudumia watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kunusuru uhai wao.
 
Wana umoja sana wakiwa mikoa mingine /mashuleni/vyuon. Ni wabaguzi kiaina(wanapenda kujitenga na kujisikia).
 
Wanamsimamo hatakama hana ela anajitaidi kutunza heshima na utu wao tofauti na makabila mengine ambao mtu yuko tayari kuinamishwa ili apate ankala
 
Wanamsimamo hatakama hana ela anajitaidi kutunza heshima na utu wao tofauti na makabila mengine ambao mtu yuko tayari kuinamishwa ili apate ankala

Yaani hapa ningekuwa kwenye pc ningekugongea like. Mwanaume lazima ulinde heshima yako hata kama huna pesa
 
wengi wao ni wasomi,na wanapenda sana kada za uanasheria na jamii ya uhandisi!
 
  • Thanks
Reactions: Sal
inaonyesha wahaya wana sifa nyingi mbaya kuliko nzuri naona wengi wamechangia zaidi upande mmoja wa shilingi..
 
Back
Top Bottom