Leo Oktoba 07 ni siku ya kuzaliwa kwa Mhe. Rais Kikwete, chukua fursa hii kumwambia lolote

...........Baba Ritz, tunamiliki nusu ya Ziwa Nyasa wng, kumbuka hili pia wakati wa siku hii muhimu kwako, hp bd
 
Rais wangu, punguza safari, komesha mauaji, wajibisha mafisadi, mrudie Mungu naye atakurudia na kuiponya Tanzania
 
muheshimiwa Rais wa TZ, Happy birthday!! tunalutakia maisha marefu hadi utakapo ng'atuka madarakani cha msingi sisi watumishi wa serikali yako utuache kwenye maisha bora kama ulivyo ahidi pindi unaingia madarakani na atakae ingia uone ahadi zake na jinsi atakavyozitekeleza kama ilivyo jadi ya nchi hii
 
Endelea kusafiri baba nchi zote duniani,kula starehe utakavyo,wazazi wetu ndiyo wakulaumiwa kwa kuichagua CCM,Hongera mzee sijui sasa hvi utapiga picha na msanii gani huko Ulaya! Msalimu bush
 
Wild Fauna na Wana JF,
Happy 62th Birthday Mr. aka President aka Dr. aka Vasco aka Mkulu aka Mkuu wa Kaya.
Mungu akujaalie Afya Njema, umalize Ungwe yako ya mwisho kwa Amani bila Zengwe.
Nawakilisha.

Raisi wangu mpendwa nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life but short life in your administration
 
happy birthday, your honour, nakutakia afya njema na usiangukeanguke tena
 
Sina shaka wewe ni mmojawapo wa wale wasioamini katika mabadiliko na huenda wewe unafurahia sana jinsi watanzania wanavyoumia kwa matokeo ambayo yameletwa na serikali ovu ya ccm.

Chadema walipochukua jiji la Mwanza lengo lilikuwa ni kuleta maendeleo na kuonyesha uadilifu na si ulaku wa madaraka na kufumbiana macho maovu kwa kuhofia kupoteza ofisi.

Nipe jibu je halmashauri ya Kishapu unaujua uchafu uliopo? Je ni CDM wanaoiongoza? Je wewe na magamba wenzio mtadiriki kuonyesha kwa vitendo kwamba mnawawajibisha watendaji wachafu au mnabwabwaja tu kwa sauti ya mkazo kama Mwanri na kesho mambo ni yale yale?

Mmeiletea Tanzania laana na hii inatakiwa iwatafune nyie iwamalize!
 
Mods bana dah! Hii nayo ni siasa?

Pelekeni kunakohusika nichangie na mimi
 
HAPPY 62 BIRTHDAY MR. PRESIDENT Dr. Jakaya Mrisho Kikwete



Over these many years that I have been privileged to know a leader whose name is Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, we have admired him as both a president and a diplomat.


I, like many others, have been inspired by him and his relentless efforts to improve the lives of others around the African continent and globe through his philanthropic work.


Birthdays are an opportunity to reflect upon our lives, the year gone by and the one lives, the year gone by and the one a head, and ask what we have accomplished and whether we have made an impact in the lives of others. October 7 marks president Jakaya Mrisho Kikwete 62th birthday and the good this great man has done in his lifetime is beyond measure.


So, what better him how his infectious enthusiasm and selfless work have inspired people worldwide. Inspiring youth in Tanzania to make exercise fun, or visiting orphans centers around the country to give those who needs most hope and courage as future leaders. Every day is dedicated to making a difference.


This birthday massage is our way of saying " thank you" to a man who is creating immeasurable change in the country and African continent.


Please, join me, and let we raise our voice together for a resounding chorus of " Happy Birthday" as we wish Mr. President Dr. Jakaya Kikwete many, many more happy and healthy birthdays to come.


He has continued to play an important role in our country and admired by the thousands of people.


As one of our 4th president of United Republic of Tanzania, we respect him, love him and always welcome his counsel on issues.


I hope you relax and let your burdens go at least for today,

This is your day enjoy!!!!!!!!


Happy Birthday Mr. President Jakaya Kikwete

I wish you the best this year and more years of prosperity.



Loveness Mamuya


CCM brach Chairwoman

Washington DC
16511139-8799590959115797066
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom