Mh JK happy birthday! Wasamehe Madaktari na warudishie registration zao Please
Mh ukisikiliza hayo naomba pia kwa kipindi ulichobakiza uwe MKALI KIMATENDO-kuna uppuzi mwingi kiutendaji katika serikali yako unaotuumiza sisi wananchi! Kwa kuweza kuonesha kwa vitendo ushughulikiaji wa waharibifu, itakuwa KIZUISHI kwa wanaofikiria kujaribu kupitia njia hizo za kutuumiza wanachi!
Happy Birthday Mh Rais