asante mkuu!nashukuru kwa kunipa moyo maana niliambiwa kuwa kuna kutapika so nikawa nawaza sana
Ndio kama hapo juu,utaratibu ndio upi jamani mi natokea mwanza naenda dar na cjawahi kupanda,vp kuhusu mavazi nackia kuna baridi ndani wananwasha air condition,kwa aliyewahi panda jmn tusaidiane
wakipitisha vyakula na soda usije ukanywa wanauza bei kubwa sana.
vipi kuhusu chakula achukue kabisa au watasimama njia wapate kula kwanza!!usisahau kumwelekeza wapi wanachimba dawa ili asijisahau!!Utaratibu ndio upi??! Kwani kuna utaratibu wa mtu akitaka kupanda/kutumia chombo cha Usafiri aombe "utaratibu"?!!
Anyway, As long as umesha-check in, pale Mwanza Airport, pita ndani subiri na abiria wenzako for boarding.
Maelekezo mengine, ya kuzima simu(Flight mode), kufunga mikanda utapata huko huko ndani pia Hostess watakusaidia.
Ni vizuri kujua kama unasumbuliwa na Motion sickness (kwa experience ya Lift/Elevator au Kupita majini)..ukawa na mfuko/omba kwa hostess ili kuepuka ku_puke kwa next passenger to you when taking off or during landing.
Hesabu masaa mawili from Dept time from Mwanza Airport.
Safari njema na Karibu D'salaam.
asante mkuu!nashukuru kwa kunipa moyo maana niliambiwa kuwa kuna kutapika so nikawa nawaza sana
Kutapika kupo,
But si utafungua dirisha utapikie dirishani? Wasiwasi wa nini?
Halafu wana kawaida ya kupitisha kituo so umwambie konda kabisa kua washuka Dar,
Mwisho unatakiwa uwahi ili usije ukakosa siti ukasimama, maana Mwanza-Dar kusimama umeshika bomba pana umbali mkuu!!
vipi kuhusu chakula achukue kabisa au watasimama njia wapate kula kwanza!!usisahau kumwelekeza wapi wanachimba dawa ili asijisahau!!
Ukisikia kukojoa waambie wakushushe... Uchimbe dawa.