Leo ndo napanda ndege kwa mara ya kwanza mnishauri jmn

Hongera sana...ni experience nzuri sana na ilitakiwa uwe usafiri wa kawaida sana ila tu serikali yetu imeufanya kuwa ni anasa!
 
mmmh! ndugu yako aliona ukipitia ubungo msala, mana wakuja hawachelewa kuuziwa simu za sabuni, karibu mjini aithee, ila kila sehemu pamechimbwa kna madini yanatafutwa mabarabarani.
 
asante mkuu!nashukuru kwa kunipa moyo maana niliambiwa kuwa kuna kutapika so nikawa nawaza sana

men kwanza nikupe tip 2 kama unajua tumbo lako si zuri, trust me usile ki2 kabla ya kupanda. I know this maana me tumbo langu linazingua, on take off utaipata, also as d plane climbs up to cruising altitude. Na wakati wa ku descend vyakula vyote lazima uvirudishe. Aww cjui abt vyakula vya 540 but ili usionekane mshamba kuna mkate nd some margarine na jam. Usije pewa ukaanza kula kila moja put the jam and marg on the tiny bread afu Yougart unaweza kula 2 pembeni b4 hujala bread o after keep in mind inayayuka.(hivyo ni vyakula vya precision) alafu ukiulizwa juice o chai whatever you do chukua chai juisi za plane mbaya cjawai ona
 
Ndio kama hapo juu,utaratibu ndio upi jamani mi natokea mwanza naenda dar na cjawahi kupanda,vp kuhusu mavazi nackia kuna baridi ndani wananwasha air condition,kwa aliyewahi panda jmn tusaidiane

kwa sababau ni mara ya kwanza kuna baadhi ya mambo ya kukumbushana

  • Usisahau kwenda chooni kwa haja kubwa hata kama hujisikii iwe ukumbusho,
  • Hata kama wewe ni dini fulani kula kila kitu hata kama Kiti moto, angani vinaruhusiwa.
  • Kama mlokole kunywa bia japo 3 ufidie nauli yako.......... angani RUKSA
  • Kama una kichefuchefu fungua dirisha uteme mate kwa nje ......................
 
Dah hii ni stage wengi tumepitia sema humu kila mtu anajifanya mjanja wengine hata mabasi hawajawai kupanda mwendo wa punda tu...

Nakumbuka situation kama hiyo 12 years ago ndo nimemaliza la 7 nimealikwa kwa shangaz majuu.. Yaani nilikuwa natetemeka na flight ilikuwa na connection 2 halafu nipo alone.. Yaan nilikuwa naogopa kupotea.. Boarding pass nikisoma sielewi elewi zile gate numbers za connections natamani kulia,,, ushamba raha sana,,, wacha nizubae dubai wakati wa connection na kizungu cha praimare za nyerere hadi msaidizi ananielewa bado kidogo nichelewe flight nikakimbizwa na basi peke yangu mpaka kwenye flight yangu kama mgonjwa... Hadi nilipofika napoenda na kumwona mwenyeji wangu hoi machozi yameshanilenga lenga sana ,, so enjoy your flight bab cha kwanza kabisa mwite cabin crew member mwagize wine, kisha relax fungua kioo cheki njee uione mwanza kwa juuu...
 
Utaratibu ndio upi??! Kwani kuna utaratibu wa mtu akitaka kupanda/kutumia chombo cha Usafiri aombe "utaratibu"?!!

Anyway, As long as umesha-check in, pale Mwanza Airport, pita ndani subiri na abiria wenzako for boarding.

Maelekezo mengine, ya kuzima simu(Flight mode), kufunga mikanda utapata huko huko ndani pia Hostess watakusaidia.

Ni vizuri kujua kama unasumbuliwa na Motion sickness (kwa experience ya Lift/Elevator au Kupita majini)..ukawa na mfuko/omba kwa hostess ili kuepuka ku_puke kwa next passenger to you when taking off or during landing.

Hesabu masaa mawili from Dept time from Mwanza Airport.

Safari njema na Karibu D'salaam.
vipi kuhusu chakula achukue kabisa au watasimama njia wapate kula kwanza!!usisahau kumwelekeza wapi wanachimba dawa ili asijisahau!!
 
asante mkuu!nashukuru kwa kunipa moyo maana niliambiwa kuwa kuna kutapika so nikawa nawaza sana

Kutapika kupo,
But si utafungua dirisha utapikie dirishani? Wasiwasi wa nini?

Halafu wana kawaida ya kupitisha kituo so umwambie konda kabisa kua washuka Dar,

Mwisho unatakiwa uwahi ili usije ukakosa siti ukasimama, maana Mwanza-Dar kusimama umeshika bomba pana umbali mkuu!!
 
Kutapika kupo,
But si utafungua dirisha utapikie dirishani? Wasiwasi wa nini?

Halafu wana kawaida ya kupitisha kituo so umwambie konda kabisa kua washuka Dar,

Mwisho unatakiwa uwahi ili usije ukakosa siti ukasimama, maana Mwanza-Dar kusimama umeshika bomba pana umbali mkuu!!

hahah haya bna, but mkuu with all kiddin aside kutapika kupo kuna ki bag writen SICK BAG mbele yako incase you hear nature calling
 
Hakikisha unajisaidia haja zote kwanza usije ukachafua hewa ndani ya ndege
 
ukiomba ushauri jiandae kupata majibu mengi, nimefurahi sana watu wanatoa ushauri mzuri lkn angalia upi mzuri maana watu wanamambo mengi.
 
vipi kuhusu chakula achukue kabisa au watasimama njia wapate kula kwanza!!usisahau kumwelekeza wapi wanachimba dawa ili asijisahau!!

Hahaha..haya mkuu,Chakula na vinywaji atapata tu ndani(atumie tu asidhani kuna gharama atatozwa) and same applies to "kuchimba dawa" !!
 
atakua keshafika huyu.aeleze kama kuna mama ntilie wa kizungu ndani na kama alikula kande na wanzuki
 
Ukisikia kukojoa waambie wakushushe... Uchimbe dawa.

Mkuu C.T.U unataka kumponza mwenzio.. Hujacikia Mwakyembe kapiga marufuku kuchimba dawa njiani..! Mie namshauri avae pampas kabisa.. Halafu akae kati kati ili hata ndege yenyewe ikigongwa nyuma au mbele aponyeke..
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom