schlumberger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 890
- 349
Binafsi nashindwa kupata tafsiri halisi. Hebu nijitahidi kuwa rational.
Hivi kwa mbinu wanazotueleza viongozi wetu wa chadema mf. ajali za kutengeneza; na tukio la kuuwawa mh.chacha wangwe; zile zilikuwa mbinu za uwt/tiss kwa ajili ya kulinda utawala uliopo madarakani? Kama ni kweli mh. Chacha wangwe alikuwa tishio kwa ccm au chadema?.
mimi naomba watanzania tuwe makini. Tutofautishe maslahi ya nchi na ya watu(viongozi) binafsi.
Halafu, mbona wachangiaji hawazungumzii hili la chacha wangwe badala yake tunatoa mifano mingine? Au huyu alikuwa mbuzi wa kafara? Damu yake sio muhimu? Kulikoni wazalendo? Mko wapi?
Au mkuki kwa nguruwe sawa na kwa binadamu mchungu? Hoja yangu ni kuwa, ikiwa haya yanafanyika nje ya mfumo wa madaraka, je, ikiwa ndani ya mfumo itakuwaje?? Nani atasalimika???
Na je, ukanda gani wa nchi ujambazi ni kitu cha kawaida? Nani asiyejua?
Mzalendo haachi kuasa.