Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,975
9,566
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.
 
na hili pia linawezekana hasa likifanywa na serikali........ni ajabu sana kuona vitendo kama hivyo kuwa vimefanyika,na vinapangwa kufanyika tena and no one anywhere is taking the responsibility......watanzania wote wamelala usingizi wa pono na JK ameshatujua sie wapigia domo JF..majoka y akibisa hadi LHRC.......

suala hapa ni nani wa kuwa responsible pale serikali inapoamua kuvunja amani iliyopo kw amakusudi
 
kama kwenye Movie vile..... naona wameamu kuwapunguza wanao wapa tabu....

Lakini nina IMANI kbs ya kwmb nao watapata wakati mugumu sana maana watafikia wakati hawa TISS watamalizana wao kwa wao!

MUNGU YUPO MACHO NA HALALI HATA CHEMBE!
 
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?
CCm na Twiga wetu.......tutakuja kuwamenya kama mayai ya kuchemshwa!!
41247_438609861224_104157016224_5149015_1077097_n.jpg
 
Hii stori ya kitoto kabisa kwa hiyo ndio katishiwa kuuliwa kwa kusalimiawa?

Ritz ndg yangu mbona we kichwa umiza? Anyway, anakuambia alipigiwa simu na mtu wa kwenye system, akaambiwa anawindwa, na kuna gari inamfuatilia kataja na namba ya gari, mpaka walipokutana nao wakamsalimia kinafiki.
 
Last edited by a moderator:
Lema, acha kulia lia wewe si kila siku unasema ugopi kufa wao wana pesa wewe una Mungu, kupigiwa simu tu unasema unataka kuuliwa...acha uoga Lema au umeamua kuja na singo mpya.
Wapi kasema anaogopa, na wapi kasema wanataka Kumuua??
Tatizo la kwenda CHUO kabda ya Primary school.

"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.​

Lema, acha kulia lia wewe si kila siku unasema ugopi kufa wao wana pesa wewe una Mungu, kupigiwa simu tu unasema unataka kuuliwa...acha uoga Lema au umeamua kuja na singo mpya.

Amekwambia ameogopa...!?
 
Lema, acha kulia lia wewe si kila siku unasema ugopi kufa wao wana pesa wewe una Mungu, kupigiwa simu tu unasema unataka kuuliwa...acha uoga Lema au umeamua kuja na singo mpya.
Mkuu lazima hiyo single isimamiwe na Imamu kwasababu naona ipo kwenye mtindo wa DUFU
 
Back
Top Bottom