Lema: Nilipigiwa Simu na mtu kutoka serikalini

Hakuna utani mtu yeyote makini mwenye kujitambua lazima apingane na hii stori hakuna mtu yeyote anayemfuatilia Lema ni porojo tu za siasa.

Hapa umekosea kidogo.
Bingwa wa Porojo za Kisiasa ni Mwigulu Nchemba. Alipayuka Bungeni kuwa Chadema hawamhudumii mbunge wao wa Rombo ambaye alipata ajali. Jana ukweli umebainika na ameumbuka saaana.
Ila BINGWA wao wote ni mzee wa matusi, Livingstone Lusinde. Hapa iko wazi kabisa.
 
Yaani wewe ulivyokuwa na upeo mdogo unadhani wote tupo hivyo siwezi kuamini stori ya kitoto kama hii...

Mimi naamini kwa sababu ni kweli watu wanapelekwa mabwepande leo. Human sacrifice is the order of the day for the rulling class.
 
hata kudanganya huwezi. serikali.hiyohiyo ikuwinde halafu serikali hiyohiyo ukutaarifu kuwa kuna gari inakufatilia kwa nyuma..hujapona lema rudi hospital

(1) Serikali hiyo hiyo ilimteka na kumtesa sana Dr. Ulimboka, na serikali hiyo hiyo ikaunda tume kuchunguza utekaji na utesaji huo huo!!! Na serikali hiyo hiyo ikakanusha kuhusika na uovu huo !!!
(2) Serikali hiyo hiyo ilihusika kumuua Mwalimu Julius Nyerere, na serikali hiyo hiyo ikashiriki kikamilifu kwenye mazishi makubwa sana ya Mwalimu Julius Nyerere !!!
Hapo vipi ??? Bado hudanganyiki !!!
 
Wasijaribu kumgusa kamanda yoyote...wamefanya hivyo kwa Kamanda Ulimboka tumewavumilia, wakijaribu kwa mwingine, itakuwa KAMA NOMA NA IWE NOMA.
 
CCm na Twiga wetu.......tutakuja kuwamenya kama mayai ya kuchemshwa!!
41247_438609861224_104157016224_5149015_1077097_n.jpg

Katika umri huu ni vizuri kumwacha apumzike kwa sababu hakumbuki anachokifanya. Ni kwa nini watoto wadogo hawapigi kura ? Katika umri huu, mtu hurudia akili za kitoto.
 
Jamani mambo binafsi tusiyahusishe na serikali. zombe aliwahi kufichua habari za lema kuwa anashiriki katika ujambazi na anafadhili majambazi kule arusha.

akasema kama lema anabisha, akamshitaki ili amwage data zote mahakamani. watu walimuomba lema akamshitaki zombe. lema hakufanya hivyo. niliwahi kukutana nae boma road arusha miaka kama 7 iliopita.

Kipindi hicho alikua TLP. alikua akiongea kijiweni maneno ya matusi na kihuni. alipokua bungeni lugha ilikua hiyo hiyo ya kusema wabunge wafunge milango ili wapigane.

Mimi nadhani waliomtania ni wahuni wenzake. Wanajuana wenyewe iacheni serikali yetu!
 
Kweli wajinga ndio waliwao. Watu wasiojua propaganda za kisiasa wanaamini. Mtu anayekufuatilia hana nia ya kukuua, kama lengo ni kukuua anakufuatilia ili iweje? Si anakulipua tu. Hivi siku ile makamanda walipobwia bwimbwi Ikulu si ndo ungekuwa mwisho wao kama kungekuwa na mpango wa kuwaua?
 
"Nilipigiwa simu na mtu mmoja kutoka serikalini akaniambia kuna gari nyuma inanifuatilia, nilipogeuka niliona na kusimama kisha nikashuka na kubadili gari na lenyewe likaendelea kunifuatilia," Lema alidai kwamba hata juzi asubuhi alikutana nalo katika nyumba aliyofikia na alipolikaribia watu hao walishusha vioo na kumsalimu wakimwita ni MBUNGE WA ARUSHA ALIYEKO KWENYE LIKIZO.
:israel:
:israel:
 
Back
Top Bottom