Lema kuwatoa wafungwa gerezani

Rais anaweza kuzuia mfugwa yeyote asitoke gelezani --- sheria / katiba yetu inamruhusu.

Sio katiba yetu hiyo, bali ile waliyoitengeneza ili kuwalinda wao ndo inayompa raisi mamlaka ya kusamehe hadi wale wauaji wa Gen. Kombe! hiyo katiba yao ndo inayofanya hadi Riz aingie popote anapotaka, afanye analotaka! ipo siku tutapata katiba yetu, na hapo ndipo tutakapowahukumu. kwa sasa wamejiwekea kinga kama miungu! sh***y sana!!:smash:
 
Maelezo mengine yanasema Mh. Lema amewekwa kwenye chumba cha peke yake; hayo unayoyaandika ameyapataje?
Ngoja nikusaidie, Lema analala special room kwa mujibu wa vyanzo vyangu visivyo na chenga, na mahabusu hawatakiwi kuongea na Lema bila kibali.
 
inaonekana kapapenda jela,sasa ngoja kosa lake lithibitike tuone kama atapenda akae huko au atakata rufaa,akikata rufaa tutjua analikuwa anstuzuga
 
Rais anaweza kuzuia mfugwa yeyote asitoke gelezani --- sheria / katiba yetu inamruhusu.

Mmmh! Ni katiba hiyo hiyo ninayoifahamu inayomzuia mtu yeyote (including serikali/raisi) kuingilia uhuru wa mahakama. Kama mahakama ikiamua wameshatumikia muda wao au ni sahihi kwa wao kulipa hizo faini nani yuko juu ya mahakama? (Kama kweli tunazingatia katiba). On a separate note; kwa ufahamu wangu raisi ana-nguvu yakutoa msamaha and not otherwise.(I stand to be corrected).
 
mi nasema huyu jamaa siasa zake ni next level..mtu kama ngongo hawezi kumuelewa kabisa lema...kazi kupiga kelele tu humu
 
sasa siogopi polisi mahakama wala jela na kwa sasa nachukua uzoefu wa prison break naweza kuingia na kutoka niwezavyo
 
Kuna taarifa zinasema lema kapumuliwa kisogöni na jamaa.

Mangi Mangi Mangi wala si Mangimeli wewe ni Mangi-masaburi.....hebu kuwa great thinker for once in your damn life.....labda nieke hivi: kuna taarifa zinasema Mangimeli kapumuliwa kisogoni mchana wa leo na magamba......:embarassed2::shock:

Safi sana Lema...wasaidie wananchi hao kwani huko ni kujiongezea baraka tele na hakika kilio cha watanzania kitasikika kwa mambo kama haya
 
inaonekana kapapenda jela,sasa ngoja kosa lake lithibitike tuone kama atapenda akae huko au atakata rufaa,akikata rufaa tutjua analikuwa anstuzuga

kosa gani?? na lithibitishwe na mahakama zipi??? hizi hizi zinazohangaika na wezi wa kuku na kuwaacha mkwerena rositamu na richimonduli wanatuibia mabilioni yetu au ni mahakama nyingine????...saa ya ukombozi ishafika baba na wakti ni ukuta mwana... piga chini galagalaza, mageuzi Tz ni lazima kwa sasa...ama kwa sanduku la kura ama kwa Tunisialaizesheni.. vyovyote vile...ni lazima itokee maana mama keshabeba mimba kuzaa hakukwepeki, ama kwa njia ya kawaida ama kwa kisu...atazaa tu...NO CAVITY
 
Kuna taarifa zinasema lema kapumuliwa kisogöni na jamaa.

Waliopumuliwaga kisogoni twawajua sana, maana picha zilianikwa na tuliziona. unajifanya unajua kutusi eee????!!!. Nyie anzeni tukiliwasha hapa msilalamike. ndiyo hivi hivi mlianzaga kututukana eti tumezaa na wake za watu, tulipofunua kidoooooogo tu hiyo mikoti yenu ya kijani kuonyesha timu za vimada na vitoto vya mitaani mlivyototoa, mkakunja mikia yenu na kuomba yaishe. sasa leteni za kuleta tuwawekee picha live mkipumuliwa migongoni..tumbafu senyu, mafisadi nyie!!!
 
MJOMBA RAIS HANA MAMLAKA YA KUMFUNGA MTU SHERIA NDO INAMAMLAKA NA VILE VILE RAIS HANA MAMLAKA YA KUMZUIA MFUNGWA YYT ASITOKE GEREZANI SHERIA NDIO ITAZUIA lkn kwa serikali legelege na yakifisadi ya Tz yote yanawezekana ht kuua ruksa! Binafsi nampongeza sn mh.

G.Lema kwa ushujaa na uzalendo aliofanya na kama pesa zitampungukia asisite kurudi kwa wananch kutueleza, tutachangishana fasta kuwakomboa watanzania wenzetu. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI LEMA, MUNGU IBARIKI CHADEMA,

Aaaaamin!
 
Back
Top Bottom