Funguo ya kuwatoa wafungwa gerezani waliofungwa na shetani

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,126
22,626
INTRODUCTON.

Wafuatao ndio waliodhamiriwa kutolewa magerezani katika vifungo vya shetani.

Wafungwa Hawa ni Walio hai Kwa nje, wenye pesa Kwa maskini, wazima Kwa Walio vitandani, wasomi Kwa wajinga, wapagani Kwa Walio na madhehebu nk nk.

Ni wale wanaotamani kuacha TABIA au vitendo Fulani vibaya vyenye kuleta athari mbaya juu ya maisha Yao na wameshindwa kujinasua.

Fuatana nami Ili upate Funguo ya kukutoa ulipofungwa.

USHUHUDA WA MFUNGWA ALIYEWEKWA HURU KUTOKA GEREZA LA SHETANI.

Mtumishi wa Mungu alialikwa kwenda Kutoa semina katika Kanisa moja, na Kwakuwa alipoalikwa ni mji mwingine, ilimlazimu kufunga safari ya masaa kadhaa. Alifanikiwa kufika eneo alipoalikwa na alipokewa na vijana watano wenyeji wa eneo ambalo semina Ile ingefanyikia.

Vijana wale walimpokea mtumishi na kumpeleka hotelini ambapo Kanisa lililomwalika lilikuwa kimemkodia chumba ambacho angefikia Kwa muda wote alipoalikwa kufanya semina.

Kati ya vijana wale watano waliompokea mtumishi, palikuwa na wamama wawili na vijana watatu wa kiume.

Wakiwa mapokezi, mtumishi alishuhudiwa na Roho mtakatifu kumshuhudia na kumsemesha mmoja wa wanawake walioambatana na vijana wale kumpokea mtumishi.

Mtumishi alimtaja Kwa Jina mama yule na kumwambia, Mungu ananishuhudia kukushirikisha tuombe sala ya TOBA Ili umpe Yesu Kristo maisha Yako.

Mama yule alishangaa kusikia maneno Yale ya Mtumishi sababu mama yule alikuwa tayari ni muumini wa Muda mrefu Kanisani na alishiriki shughuli zote za Kanisa na Hadi kuchaguliwa kuwa kiongozi katika IDARA ya uimbaji.

Baada ya kushuhudiwa Kwa muda kadhaa, alikubali na kupiga magoti Ili aelekezwe Sala ya TOBA kama alivyoelekezwa na mtumishi.

Mtumishi alipomaliza zoezi la kusema Sala ya TOBA huku mama yule akifuatisha, mtumishi aliweka mikono yake kichwani mwa mama yule Ili kumwombea,

Mama yule alirushwa juu na nguvu ya ajabu ya Roho MTAKATIFU na alipotua chini ALIFARIKI Dunia.

Mtumishi na vijana wale wanne wote waliingiwa n HOFU kuu Kwa Sababu ya tukio lile lililotokea, mtumishi aliwaza nini Cha kufanya baada ya Kutokea tukio lile lililoleta taharuki.

Mtumishi wa Mungu aliisikia sauti ya Roho mtakatifu ikimwelekeza kuomba Ili mtu yule arudishwe katika mwili wake sababu hakuwepo.

Mtumishi alitii sauti Ile ya Mungu na kuanza kuomba Ili Mungu amrudishe mama yule aliyefariki.

Baada ya maombi ya muda mfupi mama yule uhai ilimrudia, lakini yafuatayo yaliwashangaza wote walioshihudia mkasa Ule.

Mama yule alipofumbua macho, alishangaa kujikuta katika eneo lile, alishangaa kuona amezungukwa na watu, pia alijishangaa mwenyewe maana alimwambia wote waliokuwa wakimtizama kuwa kwanini Yuko Mahali pale wakati alitakiwa kuwa amekwisha Rudi nyumbani Kutoka shule.

Alijieleza kuwa, alikuwa anatoka shule ya msingi ya Kijiji Chao akielekea nyumbani kwao, na ghafula anashangaa kujikuta akiwa katika hoteli Ile.

Alishangaa pia kujiona akiwa na maziwa kifuani,mwili mkubwa, na hakuwatambua Wala kuwafahamu wote aliowaona pale. Memory zake zote zilikumbuka maisha tu alipokuwa shule ya msingi, kurudi nyuma ,baasi.

Baada ya mtumishi na watu wale kumtuliza, ndipo wakaanza kumueleza kile kilichotokea,walimwambia kuwa ameolewa na anao watoto kitu ambacho Yeye hakumbuki hata kidogo. Anakumbuka memory akiwa darasa la tatu kurudi nyuma na hakumbuki chochote kilichoendelea baada ya hapo.

Mwisho wa ushuhuda..,...

Kisa cha ushuhuda huo ndicho kiini Cha Mada ya Leo kutaka kuwafahamisha waliofungwa katika vifungo kutumia FUNGUO ifuatayo kujinasua Kutoka vifungo vya shetani.

(Isaya 42:6-7). Says.

Mimi, BWANA nimekuita katika HAKI, nami nitakushika mkono na kukulinda, na kukutoa uwe AGANO la watu, na Nuru ya watu na Nuru ya mataifa.

Kuyafunua macho ya vipofu, kuwatoa gerezani waliofungwa, kuwatoa wale walioketi gizani katika nyumba ya kufungwa.

MAJIBU YA BWANA KUHUSU USHUHUDA WA MAMA YULE ALIYEFARIKI.

-Mama yule alipokuwa Binti mdogo darasa la tatu akitoka shuleni, alichukuliwa Kwa nguvu za kichawi na kupelekwa gerezani, katika nyumba ya kufungwa kuzimu,sawasawa na (Isaya 42:7).

- Binti yule memory zake zilisimama pale pale sababu aliingia Ulimwengu mwingine wa Giza na kufungwa gerezani.

- Shetani alipomchukua kifungoni Binti yule kimiujiza, aliyerudi nyumbani na kuendelea na maisha, Kuolewa Hadi kuzaa watoto hakuwa Binti yule halisi, Bali ni PEPO lililoingia na kureplace nafasi ya Roho na NAFSI ya Binti iliyopelekwa kuzimu gerezani.

- Mama yule alifariki baada ya kuombewa sababu kuu ni kuwa Roho na NAFSI iliyokuwa ikitenda KAZI ndani ya MWILI wa Binti na mama yule ilikuwa ni ya Pepo, Pepo lilipofukuzwa, mwili ulidondoka na kufa sababu Bado mtu halisi ambaye ni NAFSI na ROHO ya Binti yule ilikuwa Bado gerezani.

-Mama yule alifufuka baada ya maombi sababu, Maombi yaliwezesha Roho iliyokuwa kifungoni kurudi katika mwili, na uhai ukarudi.

- Binti ambaye alirudishwa katika mwili baada ya miaka mingi kupita hakuwa kichaa au mwehu kama wengi walivyodhani, sababu miaka Ile yote, aliyekuwa akiishi na kutenda KAZI ndani ya MWILI alikuwa Pepo.

KWANINI SHETANI HUWAFUNGA WATU MAGEREZANI KUZIMU WAKATI MIILI IKIONEKANA BADO INA UHAI KWA MSAADA WA MAPEPO.

Sababu kuu ya shetani kuwatanguliza watu gerezani ni kujihakikishia watu hao wanakuwa raia wa kuzimu watakapokufa.

Anafanya hivyo Ili kupunguza upinzani wa mtu asijeamua kwenda katika njia sahihi, au kutumia FUNGUO nitakayokwambia Ili asije akawa salama na akakombolewa.

JE, WALIO NA ADICTION NA VILEVI MBALIMBALI, WATUMWA WA DHAMBI WASIOWEZA KUZIACHA NI WAFUNGWA SAWASAWA NA (Isaya 42:7).

Jibu ni ndio.☑️

Wote watendao dhambi, Walio na adiction ktk ulevi mbalimbali mf ngono, madawa, wizi uongo, USHOGA, hasira, wasioamini,wauwaji,wasiotii makatazo ya Mungu kuacha DHAMBI nk nk nk ni wafungwa, na Nia ya kufungwa fahamu na NAFSI zao ni wafe wakiwa dhambini Ili wakifa wakaungane na shetani aliye mfalme na baba wa dhambi na UOVU katika ufalme wa kuzimu.

FUNGUO YA KUKUTOA KATIKA GEREZA.

FUNGUO ni Jina la YESU kristo aliyezaliwa Bethlehemu na kukulia Nazareth ndilo lenye uwezo wa kubomoa magereza ya shetani na kukutoa kifungoni.

Ukimkiri Yesu Kristo na kuamini Kwa moyo wako kuwa Yesu Kristo ni BWANA na Mwokozi wa maisha Yako, gereza ulilofungwa, litabomoka na utarudi kuwa hai tena katika mwili wako,

Utapata nguvu na uweza kushinda dhambi na mitego ya mwovu.

Pamoja na kuwa uko gerezani, NENO Lina uwezo wa kupenya ndani ya mtu aliyepelekwa gerezani na kumfanya Pepo anayetawala mwili wako ashinddwe kukuzuia kusikia neno la Mungu.

Nenda katika Kanisa na nyumba za Ibada kupata msaada zaidi na utaona mabadiliko.

ANGALIZO: Mungu hakumuumba mwanadamu Ili aje ataabike katika vifungo vya ulevi ,UZINZI, uuaji nk nk, Alimwumba mwanadamu aje atawale Dunia na kuishi sawasawa na maagizo ya Mungu ndipo astawi na kuneemeka sana na baraka zimfuate kokote aendako.

Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen

Ukiwa hujaokoka, fuatisha Sala hii,
EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Amen

ITAENDELEA..........
 
Watumishi wengi makanisani wanafanya kazi ya Bwana ila wengi hawajaokoka...

Na pia wapo ktk vifungo vya shetani...

Kuna tofauti ya kuokoka na kuishi wokovu...

NB: Wokovu sio mwepesi ni lazima ujikane yaani ujitenge na dhambi
 
Mungu atusaidie.
 
Mungu ni MWEMA, ni maombi yangu,

Wafungwa wawekwe huru,

Waende Kwa furaha wakamtumikie Mungu shambani mwake.

Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom