Lema awasha moto Igunga

ccm imewafanya wa tz kama kuku ambaye hanyonyeshi watoto wake na kuku hukamatwa akitaka kucïnjwa na hurud kuwaomba kura tu
Wana Igunga wanazo taarifa za watoto wa RA wanaosoma Uswizi na SA kwa gharama ya kufru Tshs 300,000,000/= kwa mwaka mtoto mmoja?????????????Wahabarishwe!!!!!!!!
 
mcsikilize propaganda za ccm za kupakazia kuwa cdm ni wakatoliki anamsimamisha kiongozi 1 wmisijam ambaye ni mwana cdm , anasema mbunge ! Wa cdm = 200wa ccm anatoa mfano wa lisu buneni
 
safi sana cdm..mapambano yana endelea..mkimaliza huko njooni arusha tumgoe meya fake
 
Wana JF watu wanaohudhuria si issue sana,nadhani ingekuwa vizuri kama mhabarishaji angesema watu idadi fulani wamejiunga na cdm angalau ungesema kuna kitu kimefanyika.

MUWINDAJI HODARI NI YULE ANAYERUDI NA KITOWEO SI IDADI YA MISHALE ALIYORUSHA KULENGEA DIGIDIGI.
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

kwaiyo unakremu hujui sisi wote wapambanaji hao ni public figures bila sisi hakuna wao na bila wao hakuna sisi so watch your mouth on this
 
Mpendazoe: anatoa sbb za kuondoka chama cha magamba, ni kuwa ndani ya ccm wanachukia mtenda haki na mtetezi wa wa2 kwao kutetea wanyonge ni dhambi
 
Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?

Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...

Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
Mheshimiwa vipi mbona hutoi kauli kuhusu jina lako linalodaiwa kutumiwa na jamaa flani huko Nzega?
Mfikishe mahakamani yule jamaa kama sivyo tutaanza kukutilia mashaka
 
Ndani ya ccm hawana miiko ya uongoz walimwacha kafum wakamcimamisha ra, ccm hawawezi kujivua gamba.itacbitika baada ya siku 90
 
Anasema wakijvua gamba kiukweli tutaingia ktk uchaguzi kabla ya 2015 uhalali wa selikali c sheria bali ni selikali kuwajibika kwa wa2
 
Anasema cdm haitahatarisha amani bali ni ccm kwa kutowajibika kwan wanawajibika kwa kushinikizwa na makundi ya wananchi
 
Asante mkuu,chadema songa mbele,watu wa Igunga ni wakati wa mabadiliko.Mmedanganywa sana,mmeahidiwa sana,mmevalishwa fulana za kifisadi sana,mkadhalilishwa sana,mkafedheheshwa sana na ra na ccm,sasa achieni ngazi ccm basi.
 
mbaruku mwenyekiti cdm mkoa anatoa shukran kwa wana igunga kwa kumchagua diwan wa cdm, cdm inawathamin vijana Wazee ni watoa ushauri na vijana wana chanja mbuga
 
Ccm wana2mia kitengo cha propaganda kuwagawa wa tz kwa kuzusha na kupakaza uongo mf. Tambwe hiza.wa-tz wawapuuze hao watu ni waongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom