Lema awasha moto Igunga

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
kamanda mpambanaji mh. godbless lema leo majira ya saa tisa mchana atawasha moto igunga baada ya jana kuwasha moto nzega.

ila leo mheshimiwa sana dr slaa, maberemarando , mpendazoe, wataungana na LEMA pamoja na kilewo kule igunga kuwasha moto.

akiongea na vijana asubuhii hapa igunga kamanda kilewo amesema wabunge wengine wa chama hicho wanapaswa kumuiga lema kwani ubunge siyo pozi bali nikuwa karibu na jamii na sasa lema yupo karibu na jamii ndiyo maana hata yeye hupenda kuambatana naye kufanya shughuli za ukombozi ili kila mtanzania aelewe wajibu wake katika taifa.

naye lema akaongeze yakuwa hawakuja nzega wala hawaendi igunga kumfurahisha mtu au kumkasirisha mtu bali wapo kwaajili ya kuongea ukweli na ukweli ndiyo slaa pekee ya ukombozi , akasema dr yupo njiani kuja kuongeza nguvu komaeni makamanda msiongope.
 
big up Lema!

Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA​
hii imekaa vizuri,na haapa inaonyesha nani yupo karibu na wananchi
 
chama kifanye kazi sahihi ya kuamsha fikra za ukombozi maana nikatika fikra mpya na zilisosahihi ndipo mageuzi yanapopata maana halisi.
 
big up Lema!

Nilicheka sana EATv kipindi cha skonga wanafunzi wanane walishindwa kujibu NANI MAKAMU WA RAIS TZ ila sita kati yao waliweza kujibu walipoulizwa nani mbunge wa ARUSHA​
Hili nalo neno hicho kibabu cha CCM kazi kukenua meno tu hakina la maana huku Tanganyika.
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
 
igunga kwa rosti tamu au? saafi saana,
jamani msiwashangae watoto kutokujua makam wa rais ni nani, hata mm kuna siku nilisahau hata jina lake, yaani nilishangaa.
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

endelea na sera mfu lema anasongambele tunamuamini sana , kauli hiyo iliwakera ccm milioni tana laki siyo watanzania milioni 35 waliyo salia wote tuliipokea kauli ile na tukaikubali kwakuwa ndiyo dawa pekee ya kuwaadabisha akina makinda wasichakachue kanuni
 
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku

Pole Kilaza wangu. CDM ni uongozi wa pamoja si uongozi wa kimla wa ndiyo mzee.
 
ni nani huyu katika maslahi ya taifa.?

Naombeni CV yake.

kutomjua huyu jamaa inaonyesha hapa jamvini kuna members wasiowajua wapiganaji wa taifa letu.
mi sidhani ni muhimu kumfahamu mtu kama Aunt Ezekieli ukashindwa kumfahamu Godbless Lema
 
NI WEWE WASEMA. Tena ukome kuwasemea watanzania!
Du kweli cdm inaishiwa sera sasa. sasa mpambanaji siyo Slaa tena?!!! imekuwaje mbona mwashangaza, mtu aliyetaka milango ifungwe ngumi zipigwe watanzania wakakerwa na upuuzi wa aina hiyo ya muwakilishi,leo ndio cdm mnamnadi eti ni mpambanaji. Ajabu ya siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom