Lema awasha moto tena chuo cha uhasibu

never

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
240
77
Mbunge wa ARUSHA MJINI mh Godbless lema baada ya safari za Nzega na Igunga, ametua jijini Arusha na kuwasha moto wa pekee kwa wanafunzi wa chuo cha uhasibu kilichopo Njiro jijini humo.

Ufunguzi wa tawi hilo ulifana kweli kweli pale wanafunzi wapatao 1243 kupokea kadi za CHADEMA na wanafunzi zaidi ya 90 kurudisha kadi za CCM na kuangusha kilio huku wakimwambia LEMA tumetubu kwakufanya dhambi kubwa sana kuwa CCM sasa leo tumeamua kuondoka rasmi kwenye dhambi hizo na tunatumaini Mungu atasikia ombi letu na kutusamehe.

Naye lema akawaambia wanafunzi hawo yakuwa sasa ni wakati wa mabadiliko na kwamba kazi ya msingi ya wasomi si kusoma ilikupata ajira bali kuelewa maarifa ili kuisadia jamii.
 
big up lema,kazi nzuri,tanzania itakuenzi,kazi unayofanya itasaidia kizazi hiki na kijacho
 
Zitto hajawahi kufanya kazi ya kuimarisha chama bali kujiimarisha yeye ndani ya chama kwa kuwawezesha mademu na vibaraka wake ili wamsapoti katika kuua chama

aisee we chali unaona mbali sana uliyoyasema hapa ni ukweli mtupu, viongozi wa chadema wanaoingia humo jf msipuuzie haya maneno yanayosemwa humu, wabunge waache pozi wamsaidie lema na slaa ilichama kiendelee kuwa tumaini la watanzania

big up lema
LEMA IS MY PRESIDENT IN 2020.
 
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!
 
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!

I agree with you sir, better current than past criminals. Unless if the old criminal becomes a fisuwadi!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!

pumbavu mkubwa wewe, lema alikua criminal gani?? Alifanya makosa gani?? Na hata kama alicommit hiyo crime, look at obama today, he waz formally a drug addict which is a crime, but now as clean as he is, he is in the world's richest country's white house,so hata kama lema alicommit hiizo crimes, ov which still nina mashaka hakuzicomitt unless ulete ushahidi, lema could still be a very successful prezident of tanzania.
 
Hongera sana Kamanda Godbless Lema na ongeza kasi kuikomboa nchi hii....na wabunge wengi wa CDM naomba muongeze juhudi kuhamasisha ili ifikapo 2015...kazi iwe rahisi kama kumsukuma mlevi, ukizingatia na chama ha Magamba kina weweseka.....

Ngoja nisikilize ujumbe kwanza
 
Last edited by a moderator:
Zitto hajawahi kufanya kazi ya kuimarisha chama bali kujiimarisha yeye ndani ya chama kwa kuwawezesha mademu na vibaraka wake ili wamsapoti katika kuua chama

Propaganda, Zittophobiasis, wivu, majungu tu. We umewahi kufanya nini?
 
naye lema akawaambia wanafunzi hawo yakuwa sasa ni wakati wa mabadiliko na kwamba kazi ya msingi ya wasomi si kusoma ilikupata ajira bali kuelewa maarifa ili kuisadia jamii.

Nimeupenda sana usemi huu. Thanx
 
  • Thanks
Reactions: Ame
That is a dream of a politically blind person.
We can't allow a former criminal to be our president.
Never in this lovely country of ours...PERIOD!

brother mimi nakujua yakuwa umemeza maji ya bendera na ukada uliyo nao hautakusaidia chochote kile, angalia ulipiga propaganda za kijinga mpaka vijana wenzako wakawa wanakuzomea, kama ni watusafi kuliongoΩa taifa hili basi jua ni lazima wapatikane watu kama akina lema ambao muda wote wamekuwa wakiweka maisha yao rehani kwaajili ya kumkomboa mtanzania mlala hoi, amka hapo ulipo wenzako wanakimbia wewe unatembea niaibu kubwa sana kwa kijana kama wewe kuishi kwa propaganda siku ukweli ukishinda utaumbuka sana maana huwa ukweli haushindwi bali unacheleweshwa, msalimie sana makamba swahiba wako mwambie mwanae naye atamfuata siku za karibuni.
 
aisee we chali unaona mbali sana uliyoyasema hapa ni ukweli mtupu, viongozi wa chadema wanaoingia humo jf msipuuzie haya maneno yanayosemwa humu, wabunge waache pozi wamsaidie lema na slaa ilichama kiendelee kuwa tumaini la watanzania

big up lema
LEMA IS MY PRESIDENT IN 2020.

hata zitto mwenyewe anashinda humu, ingawa of late nimeona kama amebadilika, zitto ni mtu makini na anajua kujenga hoja, huwa anafanya makusudi tu pale anapoamua kufumbia macho vitu muhimu
 
Back
Top Bottom