Duh, hiki chama chenu kazi kwelikweli! Chama kinaongozwa na umaarufu wa mtu, kilianza na Mbowe na helikopta zake, baadaye Zitto na Buzwagi yake, Slaa na ufisadi, sasa Lema na Mauaji yake ya Arusha...sijui hawa wakihama au wakisaliti kutatokea nini?
Hamjifunzi tu? Tengenezeni mfumo na mjenge misingi ya chama chenu na siyo kutegemea characters/personalities! Those they come and go...
Hakuna think tanks huko wakawashauri? Tumieni hata ruzuku basi mtafute consultant basi awashauri!
wewe utakuwa umetumwa na Msekwa, si haba. teh teh teh.