Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Aaaaahaahaaahaaha!! kamoni Lema!! Nadhani nitamlaumu Lema maisha yangu yote,angeacha huyu jamaa apewe adabu kwanza ndipo wamwokoe....

hapana ingeweza kuzaa kesi ambayo ingemchelewesha dogo nasary kutwaa jimbo lema katumia hekima!!
 
Inaonyesha jinsi mashabiki wa chadema mlivo mnapenda ugomvi na kutetea ujinga . Haya bwana mpira dk 90.
 
Wana Arumeru chungeni wake zenu, huyo Nchemba au njemba achezee huko huko mikoa ya bara na tabia yake ya kuiba wake wa makada wenzake, akija huku kwetu Tanga au mikoa ya pwani na hiyo tabia yake ya kutongoza wake wa watu, tutamtoa busha.
 
Nadhani dogo aliposikia Mwigulu yuko meru akajua kazi imekuwa ngumu, lakini kote huko nikumgwaya Mwigulu. Kwani nasari anafanya kazi takukuru? Lakini mbona nasari kwa Mwigulu ni kama sisimizi na tembo? Mwigulu ni kamanda wa vita sio mtu wa kutishiwa

vita ipi?dhibitisha hapa hatutaki hadithi za alfulela ulela
 
vua gamba we gamba sijui we ni mch. lwakatare anae ikandia jf mwaka huu mtat.............................vijiti

Mkuu labda kwa hayo maneno ya "hata wakihamishia Bank Meru hawatashinda" manake kwa kweli vinginevyo huwezi elewa mbaya zaidi jamaa anazungumzia Mt. Meru Hotel labda kama ni tukio la juzi manake mimi niko maeneo ya swimming hapa Hoteli najaribu kuwauliza wahudumu wanafanya kunishangaa' habari zingine bana....... Anyway ngoja niendelee kuhoji
 
Tukiweka ushabiki wa vyama pembeni....ukweli CCM kimepoteza mvuto mno na hata wao wanalifahamu...kwa mtu kusimama mbele ya had
hara ya watu na kuanza kuinadi CCM watu wanaweza kukuona wewe ni mwendawazimu na utawaongezea hasira watu...kwahiyo CCM hawana mbinu zaidi ya kutumia rushwa,vyombo vya dola na uchakajuaji ili kushinda uchaguzi wowote ule.

Kamanda hakika wewe si wa kuaminika.Ulileta porojo hapa kuwa Chadema inaelekea kushinda Uzini kumbe ni asilimia 4 kwa 91. Sasa umeamia Arumeru na fix za Alsaaf wa Iraq ''we are beating them''.Kama hamtaacha porojo hizi za mezani kuwa CCM haipendwi mtakuwa mkitandikwa kila chaguzi na kulia na uchakachuaji.

Uongo unashusha heshima na wewe humu Jf huwa nakupotezea tu maake unafiki at work.What is so special to Nasari, ninachojua yeye ni miongoni mwa wagombea zaidi ya 6 waliochukua fomu CDM sasa kabla kamati haijampitisha kaanza kupanic na ikitokea amepigwa chini what next?

Tuheshimu demokrasia, huwezi kujitangaza kuwa mpinzani (mteule wa CDM)hali ya kuwa hujapitishwa.Hii inaleta tafsiri kuwa wengine ni wasindikizaji tu which is not true.
 
Magamba mna shida sana.Nassari anawatoa udenda
 
yes ni lazima mwigulu amtetee huyu kenge wake manake naye bila chapaa ya lowasa ni kama samaki nchi kavu
 
Kama CCM wanadhani wanakubalika Arumeru kwanini wameanza kugawa pesa mapema?
Kwa mtindo huu,haiyumkiniki kutarajia kampeni zozote za maana toka kwa CCM...
Tumsaidie Kamanda Nassari kuandaa mawakala na walinzi wa kura mapema...
Hapo bado hajaenda ndugu Rage na wajumbe wa kamati kuu Asha Baraka na Hadija Kopa bila kumsahau bingwa wa mikakati wa chama bwanaLivingstone Lusinde mlezi wa CCM mkoa wa Arusha Steven Wassira hapo hujagusia kamanda wa polisi wa mkoa,Tobais Adengenye !!
Pamoja na watu hao hapo juu,hatimaye NGUVU YA UMMA.
 
TUSIVURUGE NCHI kama Naasiri nataka kummaliza Mwigulu aweke TEGO la rushwa,
HABARI ZA MASUBWI hapana,
 
Back
Top Bottom