Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Kaz ndo inaanza igunga rage alibeba bastola kiuon sasa wanaokuja uku arumemeru wabebe vifaru na makombora kabisa
 
Kumbe Mwigulu ni tishio hivi. Hivinasari ni kumpiga mwigulu au anatafuta kumaribia recodi ya uongozi. Tuwewakweli nasari hata kiganja cha mwigulu hajai
 
Yaani we acha tu! nilimgungua mda kidogo ila nilikuwa namvutia pumzi....ila ningefurahi kama atabadilisha
picha ya avatar yake
Unavuta pumzi ili iweje. Mimi siongozwi na mahaba naongozwa na utashi wangu. Mahaba hupumbaza na kumfanya mtu aite chongo kengeza. Mkuu siwezi kushabikia kwa sababu tu ya kushabikia hata kama ni magamba ama magwanda ni sawa tu. Ushabiki usio na mashiko ni upofu. Heading ya thread ni tofauti na kilichomo ndani. Siwezi kushabikia vurugu zisizo na mashiko. Unaona ni ushujaa kimvamia mtu hotelini na kutaka kumpiga bila sababu? Siasa haziko hivyo; siasa zinaongozwa na dhana ya kupingana bila kupigana.

Avatar yangu ni yangu na ina maana kwangu sikukutana nayo mtaani hivyo siwezi kuibadili kwa matakwa yako.
 
Meza hivyo hivyo ni chungu lakini...........

tunashabikia ugomvi, this is not right no matter what!!! Nasari needs to avoid these encounters, if they are really important, then he should use other people and possibly disappear fromt he scene... he is getting himself into the trap that is prepared for him

THE YOUNG MAN NEEDS TO KNOW THAT VIOLENCE MAY NOT BE THE BEST FOR NOW, KAMA ANATAKA IMPACT ATUME WATU WAWE WAANGALIZI NA YEYE AKAE BIZE NA KAMPENI, MERU IS MORE OF A SULTANATE PLACE

call me old fashioned by any violence is not right kwa sasa... hawa ni vijana wawili kwenye mkoa wa wajanja wanaweza kuchuana bila makonzi
 
Nassari anawaza kupigana hadi leo! Hopeless!
Huenda ni utoto ama uchanga katika siasa na malezi toka kwa mzee wa funga mlango tupigane; nadhani akikua ataacha. Inanikumbusha enzi hizo tuko shule ya msingi ambapo tulikuwa tunachonganishwa na kuambiwa puta mchanga. ukiputa tu basi ugomvi mnapigana kama kondoo!
Mbunge mtarajiwa anataka kupigana bila sababu yoyote na watu tunashangilia kuwa huo ndio ushujaa!
 
tunashabikia ugomvi, this is not right no matter what!!! Nasari needs to avoid these encounters, if they are really important, then he should use other people and possibly disappear fromt he scene... he is getting himself into the trap that is prepared for him

THE YOUNG MAN NEEDS TO KNOW THAT VIOLENCE MAY NOT BE THE BEST FOR NOW, KAMA ANATAKA IMPACT ATUME WATU WAWE WAANGALIZI NA YEYE AKAE BIZE NA KAMPENI, MERU IS MORE OF A SULTANATE PLACE

call me old fashioned by any violence is not right kwa sasa... hawa ni vijana wawili kwenye mkoa wa wajanja wanaweza kuchuana bila makonzi
Huu ni ushauri mzuri sana kwa huyu kijana pamoja na wengine ambao wanashangilia ugomvi bila kujiuliza madhara yake kisiasa.
 
tutaaminije?weka picha hapa fasta!!

Acha kujidanganya kwa kudhani kila habari ili iwe na ukweli lazima kuwe na ushahidi wa picha! mbona kesi nyingi mahakamani huwa zinaendeshwa kwa ushahidi wa maneno bila picha mpaka zinafikia hukumu!
wewe inaelekea hata mshkaji wako akikutonya kuwa kamuona mkeo anaingia guest na njemba wewe utataka ushahidi wa picha... LOL! watu watakugongea mkeo miaka nenda rudi na utabaki huamini kisa unapelemba ushahidi wa picha! pole sana kaka.
 
Mkuu kimbunga, mie kwa kweli sijaelewa vizuri, Lema kamuokoa kivipi mwigulu?

Nasikia Mwigulu analaana ya kumbaka mama yake mzazi sasa anatafuta mtu wa kufanaye. Nassir awe makini na mtu mwenye laana kama yule.
 
Back
Top Bottom