Tip Master
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 490
- 532
Nataka kujua kama CCM imeishiwa watu makini na iwapo bado inaamini ktk uwajibikaji na utawala bora.
Mtu mwenye tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu hakupaswa sio tu kuendelea kuwa mbunge,bali pia kuendelea kushikilia nafasi yoyote ktk CCM, achilia mbali kuendesha operesheni za chama.
Huyo jamaa aondolewe ama aondoke haraka Arumeru vinginevyo ataambulia kipigo toka kwa vijana mara uvumilivu ukiwashinda.
slaa na mke wa mtu watakiwa mahakaman leo.oh!samahan na mchumba wake.plz waungwana sijazamilia kabisa