Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Kama CCM wanadhani wanakubalika Arumeru kwanini wameanza kugawa pesa mapema?
Kwa mtindo huu,haiyumkiniki kutarajia kampeni zozote za maana toka kwa CCM...
Tumsaidie Kamanda Nassari kuandaa mawakala na walinzi wa kura mapema...
Hapo bado hajaenda ndugu Rage na wajumbe wa kamati kuu Asha Baraka na Hadija Kopa bila kumsahau bingwa wa mikakati wa chama bwanaLivingstone Lusinde, mlezi wa CCM mkoa wa Arusha Steven Wassira, hapo hujamgusia kamanda wa polisi wa mkoa,Tobais Adengenye !!
Pamoja na watu hao hapo juu,hatimaye NGUVU YA UMMA itashinda.
 
TUSIVURUGE NCHI kama Naasiri nataka kummaliza Mwigulu aweke TEGO la rushwa,
HABARI ZA MASUBWI hapana,

Sahihi kabisa Mkuu,,sema na hao watu wa rushwa/"kuzuia rushwa" hawaaminiki, mara kadhaa wameonekana kuwa upande wa ccm
 
Unaweza isimamia hii kauli yako kwa muda gani au ni leo tu, maana mara nyingi mnadai JF ni ya CDM.

Supporter wa magamba wengi uwa wa aikyu ndogo sana,ukishaona mtu anatanguliza mbona,ingekua ujue huyo kafilisika sera kichwani,jaribu kutafiti watu wachache tu unaowajua mkuu wanaosapoti magamba na uelewa wao,ningeweza tumia lile neno alilokua anatumia mwalimu nyerere,ila nahisi nitachafua hali ya hewa humu
 
Kamanda hakika wewe si wa kuaminika.Ulileta porojo hapa kuwa Chadema inaelekea kushinda Uzini kumbe ni asilimia 4 kwa 91. Sasa umeamia Arumeru na fix za Alsaaf wa Iraq ''we are beating them''.Kama hamtaacha porojo hizi za mezani kuwa CCM haipendwi mtakuwa mkitandikwa kila chaguzi na kulia na uchakachuaji.

Uongo unashusha heshima na wewe humu Jf huwa nakupotezea tu maake unafiki at work.What is so special to Nasari, ninachojua yeye ni miongoni mwa wagombea zaidi ya 6 waliochukua fomu CDM sasa kabla kamati haijampitisha kaanza kupanic na ikitokea amepigwa chini what next?

Tuheshimu demokrasia, huwezi kujitangaza kuwa mpinzani (mteule wa CDM)hali ya kuwa hujapitishwa.Hii inaleta tafsiri kuwa wengine ni wasindikizaji tu which is not true.

true that .
 
Mkuu kwa Arumeru mashariki CCM hamtoki...Katika posts zangu hakuna mahala nilipo mtaja Nasari Joshua...mpaka sasa nakushangaa wewe na wengine wanao ongea kuhusu Nasari wakati CDM haijafanya vikao vyake kupendekeza mgombea...Kuhusu uchaguzi Uzini...pitia upya thread yangu ili umma ufahamu kwamba nilitangaza matokeo au vipi...Uwe fair na watu wata judge.
 
Kamanda hakika wewe si wa kuaminika.Ulileta porojo hapa kuwa Chadema inaelekea kushinda Uzini kumbe ni asilimia 4 kwa 91. Sasa umeamia Arumeru na fix za Alsaaf wa Iraq ''we are beating them''.Kama hamtaacha porojo hizi za mezani kuwa CCM haipendwi mtakuwa mkitandikwa kila chaguzi na kulia na uchakachuaji.

Uongo unashusha heshima na wewe humu Jf huwa nakupotezea tu maake unafiki at work.What is so special to Nasari, ninachojua yeye ni miongoni mwa wagombea zaidi ya 6 waliochukua fomu CDM sasa kabla kamati haijampitisha kaanza kupanic na ikitokea amepigwa chini what next?

Tuheshimu demokrasia, huwezi kujitangaza kuwa mpinzani (mteule wa CDM)hali ya kuwa hujapitishwa.Hii inaleta tafsiri kuwa wengine ni wasindikizaji tu which is not true.

Mkuu kwa Arumeru mashariki CCM hamtoki...Katika posts zangu hakuna mahala nilipo mtaja Nasari Joshua...mpaka sasa nakushangaa wewe na wengine wanao ongea kuhusu Nasari wakati CDM haijafanya vikao vyake kupendekeza mgombea...Kuhusu uchaguzi Uzini...pitia upya thread yangu ili umma ufahamu kwamba nilitangaza matokeo au vipi...Uwe fair na watu wata judge.
 
Kama CCM wanadhani wanakubalika Arumeru kwanini wameanza kugawa pesa mapema?
Kwa mtindo huu,haiyumkiniki kutarajia kampeni zozote za maana toka kwa CCM...
Tumsaidie Kamanda Nassari kuandaa mawakala na walinzi wa kura mapema...
Hapo bado hajaenda ndugu Rage na wajumbe wa kamati kuu Asha Baraka na Hadija Kopa bila kumsahau bingwa wa mikakati wa chama bwanaLivingstone Lusinde, mlezi wa CCM mkoa wa Arusha Steven Wassira, hapo hujamgusia kamanda wa polisi wa mkoa,Tobais Adengenye !!
Pamoja na watu hao hapo juu,hatimaye NGUVU YA UMMA itashinda.

Hivi huko mbunge aliyefariki alikuwa wa chama gani?
 
Bora hajampiga, manake Nassari angewekewa vikwazo kugombea. Lema is very understanding guy. Dawa ilikuwa kumkamata live ..ma la mamake Mchemba anachafua hali ya hewa huyo!
 
Kwa CCM bila kuwa na merits hizo, mwizi, fisadi, mtoa rushwa, mzinzi, mwongo, majungu, mbea, fitina, makundi na mambo kama hayo hupati cheo.
Mseme na msingizie kwa mengine, lakini uzinzi na uongo, CCM hawawezi kuwafikia Chadema, tena viongozi wa juu kabisa, wote!
 
Mwigulu anatamani tena mwingine wa aina hii

739014474.jpg
 
Back
Top Bottom