Lema amuokoa Mwigulu Nchemba Mount Meru Hotel!

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Ndugu wanajf leo hapa MOUNT MERU HOTEL kumetokea tafurani kubwa ilikuwa inamkuba MWIGULU NCHEMBA, Nahii yote imetokea Baada ya kamanda Nassari Joshua kupata Taarifa ya kugawiwa kwa rushwa kwenye Jimbo la Arumeru Mashariki.

Kamanda Nassari aliamua kumfuata moja kwa moja bwana Mwigulu Nchemba na kumuonya kuhusu tuhuma hizo ndipo bwana Nchemba alipo anza kujibu mbovu na kamanda Nassari akaamua kumnyookea na Kumuambia Nchemba hapa ni Meru siyo Igunga nitakuchapa vibao sasa hivi, Kamanda Nassari akamsogelea Bwana Nchemba na kutaka kufanya kweli ndipo ghafula akatokea kamanda Lema na kumuambia Nassaria aachana na Nchemba kwani hawawezi kushinda Meru hata wakiamua kuhamishia Bank kuu pale na kugawa hela.

Kwasasa kamanda Lema na makamanda wengine Wameelekea Meru kwa kazi za chama ila baada ya Tafrani hiyo kamanda Nassari hajulikani alipoelekea, Ila hili lilikuwa onyo kwa mdomo , Hatuta vumilia ****** huu.

WATATUUA KWA RISASI ZA MOTO, WATAKUFA KWA PRESHA YA DHAMBI, AHSANTENI MUNGU YUPO UPANDE WETU, MSIOGOPE.
 
Mwigulu alifumaniwa na mke wa mpiga kampeni mwenzake igunga akasamehewa kwa kua wasukuma ni wahoga flani hivi. Safari hii kule Meru atafanyiwa kitu mbaya MBAYA.

Habo hatujaanza mambo. Je mambo yakiaanza?
 
Aweke picha ya nini wewe acha unafiki.

Ningefurai kama angemtandika kibao cause nchemba anakiereere sana.
 
Bwana Mchemba anafikiri Wameru ni kama Wanyamwezi, unatembea na mke wa mtu na bado wanakupigia na kura, Haa ha ha.
 
Kwamba Nchemba anatuhumiwa kutoa rushwa ndio Nassari akataka kimpiga! Hii ni ni vurugu tu? Mbona sioni mahala ambapo onaonyesha kwamba Nchemba alikutwa akitoa rushwa? Huu nadhani ni ubabe tu.
 
Aaaaahaahaaahaaha!! kamoni Lema!! Nadhani nitamlaumu Lema maisha yangu yote,angeacha huyu jamaa apewe adabu kwanza ndipo wamwokoe....
 
mmemsahau kilewo?

aliyesema ni mjumbe wa NEC ya ccm wakati magamba wanavuana magamba. akawa anaturushia live kutoka kikaoni kumbe mwongo.

mianaume mingine hovyo.
 
Nadhani dogo aliposikia Mwigulu yuko meru akajua kazi imekuwa ngumu, lakini kote huko nikumgwaya Mwigulu. Kwani nasari anafanya kazi takukuru? Lakini mbona nasari kwa Mwigulu ni kama sisimizi na tembo? Mwigulu ni kamanda wa vita sio mtu wa kutishiwa
 
mmemsahau kilewo?

aliyesema ni mjumbe wa NEC ya ccm wakati magamba wanavuana magamba. akawa anaturushia live kutoka kikaoni kumbe mwongo.

mianaume mingine hovyo.

Wewe ndiye muongo usiye na aibu
 
Nadhani dogo aliposikia Mwigulu yuko meru akajua kazi imekuwa ngumu, lakini kote huko nikumgwaya Mwigulu. Kwani nasari anafanya kazi takukuru? Lakini mbona nasari kwa Mwigulu ni kama sisimizi na tembo? Mwigulu ni kamanda wa vita sio mtu wa kutishiwa

Magamba at work
 
Magamba yanapenda kuturubuni watz. Watz semeni sasa tumekuwa watu wazima hatudanganyiki na vijisenti.
 
Back
Top Bottom