Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

Namkumbuka mwalimu aliwahi kusema "Sasa watanzania tumebakiwa na kazi moja kum..." picha yake halisi imeonekana.
 
Hapa usikute kapeleka story ili aandikwe ajulikane zaidi
 
Anataka publicity kinguvu ndo hayo sasa kina Shigongo wanamtoa credibility, hata kama ni pozi tu lakini always like birds flocks in the same direction.Mzazi watoto naona wamepata la kujifunza.
 
attachment.php

Duh! Jamaa wamezinyonya picha hapa jamvini na kisha kuzitumia kuuza kijigazeti chao...Huu ndio mwisho wa Le Mutuz big show baharia wa Segerea kuweka mapicha yake hapa na vimwana mbali mbali jijini au kuandika alikuwa anajirusha maeneo yepi ya jiji.
 
Namkumbuka mwalimu aliwahi kusema "Sasa watanzania tumebakiwa na kazi moja kum..." picha yake halisi imeonekana.

"sasa watanzania tumebaki na kazi moja, NI KUMPIGA" Nyerere.
 
Mavi!!!!!!!!!choo kiko wapi nikajisitiri mie!!!!!

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, jana kwenye kongamano la Vijana wa YUNA Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama; ambako pia William Malecela alikuwa mmoja wa wageni waalikwa, pamoja Jokate Mwegelo (Channel 0 TV), Reuben (clouds), Mike Mushi (JF).
 
Labda ana mid life crisis
au labda anajua anachokifanya,
na sisi bado hatujamuelewa
 
Lakinu hawamtendei haki kumita 'mtoto wa Malecela'

sasa yeye ni mtu mzima vya kutosha
bora aitwe tu kwa jina lake la William Malecela Le Mutuz...
 
Duh! Jamaa wamezinyonya picha hapa jamvini na kisha kuzitumia kuuza kijigazeti chao...Huu ndio mwisho wa Le Mutuz big show baharia wa Segerea kuweka mapicha yake hapa na vimwana mbali mbali jijini au kuandika alikuwa anajirusha maeneo yepi ya jiji.

William Malecela juzi alipowatembelea wabunge wanaopenda Simba kwenye vyumba vyao vya kuvalia Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo wao wa Jumamosi; juu ni Mh. Zitto na chini ni Mheshimiwa Neema Himid!!

  • Thanks
Reactions: BAK
He must have a very serious psychosocial problem which he is trying to hide or fight against social prejudice. Who is certain about his sexual orientation???? This is a very deviant behavior for someone wishing to be leader in this society.
 
unabii wetu umetumia kama alifanya kwa kutokujua pole ulimbukeni pia pole ,nilimwambia hizi picha zitakukost kama unataka kuwa mwansiasa.wana JF TULIMWAMBIA AKAJIBU NYODO
 
William Malecela juzi alipowatembelea wabunge wanaopenda Simba kwenye vyumba vyao vya kuvalia Uwanja wa Taifa kabla ya mchezo wao wa Jumamosi; juu ni Mh. Zitto na chini ni Mheshimiwa Neema Himid!!

lol! Le Mutuuuuuzzzzz The big show baharia wa segerea Mbunge mtarajiwa wa mtera 2015 :)...Hizi ndio picha ulizotakiwa kuziweka ili kuanza kujifagilia katika dhamira yako kuelekea 2015 na siyo zile za vidosho wanaotikisa jiji.
 
Lakinu hawamtendei haki kumita 'mtoto wa Malecela'

sasa yeye ni mtu mzima vya kutosha
bora aitwe tu kwa jina lake la William Malecela Le Mutuz...
NI ILI WATU WAMTAMBUE KWA URAHISI WANGEMALIZIA THE BIG SHOOW @NY KIVUKONI DSM hahahaah
 
Back
Top Bottom