Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

Nimetafuta sana hili gazeti leo naambiwa limenunuliwa kama njugu! Bila shaka hizi picha za vibwena zitammaliza maana sifa kubwa ya Le Mutuz inaonekana ni kwa mademu zaidi
 
waandishi wa udaku noma,wamechukua zile picha za kujiachia halafu wakaziacha zile za heshima....ye hajui huku kuna waandishi wa udaku kama kina @Taimo
 
Feel sorry for Neema !!

He must have a very serious psychosocial problem which he is trying to hide or fight against social prejudice. Who is certain about his sexual orientation???? This is a very deviant behavior for someone wishing to be leader in this society.
 
ha ha ha, hapana Kaizer, ndo kajibrand hivndo maana they follow follow him.

Pia inawezekana ni strategy za kibiashara.
Kuna mwimbaji kajitangaza si liziki wadau wanadai ni marketing strategy ya album yake inayokuja.

Hujui kuna tetesi Wema anahonga ili aandikwe?

Mjini hapa, wengine wanahangaika kutoka povu, mwenzao anaandika siku.

Au ana export african products?
nawashngaa why cant they leave u alone!

Le Mutuz le big show!

walau enzi zako hizi ajali ajali tulikuwa hatuzisikii!!
 
Last edited by a moderator:
lemutuzzz big showwwwwwwwwwwwwwww,continue to be yourself mwaya,maisha mafupi haya,.......politics ni game cheza unavyotaka,make your own rules...win ,loose kila mtu ana chance hio kwa...................ukishindwa then you know you gave your best shot,nachoshangaa wana jf hawapendi (baadhi)kukuona kny game sijui ni love-hate relationship lol,....dont give in kwa hawa watema sumu wa humu,lol:sleepy: CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nilimuona juzi Slaa na kimada wake kwenye gazeti la udaku front page wamekumbatiana..vipi ilo hamkuliona wanamagwanda!!
 
Lakinu hawamtendei haki kumita 'mtoto wa Malecela'

sasa yeye ni mtu mzima vya kutosha
bora aitwe tu kwa jina lake la William Malecela Le Mutuz...
na leo kaandika hivi kwenye wall yake fb..

@ W'S EXPERIENCE: OK USHAURI WA WENGI NI KUACHA NAO HAWA UDAKUZ, SO WE WILL LEAVE THEM ALONE NA KUENDELEA NA BIIG SHOOW KAMA KAWA, LOVE THAT!!
- POWA PEOPLE ONE PAGE NIMEWASIKIA SO HATUKWENDA HUKO, ILA IKIIISHA TU RAMADAN THE SHOW WILL GO ON, THAANKS PEOPLE KWA MICHANGO YENU NA MBARIKIWE!! - LE MUTUZ!!
 
The guy looks more of a celebrity than politician u cant expect to have political ambitions while spendin time and takin fotos with whorez... Its not a gd image
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom