Le Mutuz Kuagwa Karimjee kesho Jumatatu kuzikwa dodoma

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
949
1,685
Mwana Mitandao maarufu na mmiliki wa Blog Le Mutuz
aliyefariki dunia leo 14.may 2023
anatarajiwa kuagwa kesho 15May 2023
uwanja wa karimjee Rafiki yake wa karibu na msemaji wa familia ya Lemutuz - Kinjikitile Mwiru amesema hayo mapema leo.

"William Malecela tutaamuaga Kesho Karimjee na Maziko ni kati ya Jumatano au alhamisi Dodoma tunamsubiri Mzee malecela aje" Kinje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo anakwenda kuzikwa mvumi,dodoma

Ova
Kama vile Membe atakavyozikwa kwao Mtama, Mkapa alivyozikwa kwao Lupaso... utaratibu wa watanzania kuzika wapendwa wao nyumbani kwao kwa asili!!!
 
Back
Top Bottom