LCD TV za Startimes ziko vipi?

dropingcoco

Senior Member
Jun 21, 2008
124
11
Msaada wenu wadau, kuna hizi lcd tv za startimes naziona zipo kwenye promo, kwa yeyote ambaye anaujua utendaji wake atujulishe, zinasemekana zina Hisense technology, kwa anayejua pia hisense ni nini atuelimishe, at least na sisi wengine tujidai na flat screen za bei rahisi
 
nafikiri zitakuwa na matatizo ya kawaida kama products zingine.....siyo kila chinese product ni mbaya.......angalia unakonunua product. usitarajie ununue HDTV itumike miaka 10 i'll be outfashioned. wabongo do wachakachuaji
 
mkuu msaada hapo kwenye red please
 
Msaada wenu wadau, kuna hizi lcd tv za startimes naziona zipo kwenye promo, kwa yeyote ambaye anaujua utendaji wake atujulishe, zinasemekana zina Hisense technology, kwa anayejua pia hisense ni nini atuelimishe, at least na sisi wengine tujidai na flat screen za bei rahisi
Hisense ni kampuni kubwa ya kimataifa ya vifaa nya umeme na elektroniki nchini China. Ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya China.
 
HDTV = High Definition Television.

Ubora wa picha kwa TV ya namna hiyo ni mara 5 zaidi ya TV za Kariakoo.

Kama ni soka, basi utaona kila kitu kama vile uko uwanjani.
 
Mkuu nadhani umeikonfyuzi na 3D TV au?
HDTV utapata resolution nzuri zaidi kwa hiyo picha/matukio utakayokuwa ukiyaona yatakuwa clear zaidi kuliko CRTVs! HD technology ipo hata Laptops karibia zote za kisasa (HD LED LCD screens) na hata desktop computers especially Apple.

Ukweli ni kwamba pamoja na umahiri wa Wachina katika kutengeneza vitu vingi bado core technology ya electronics wanaichukua kutoka nje ya China (USA na Japan) wao hufanya aesthetics tu kufanya outside appearances za products ziwe appealing to consumers. Kwa hiyo ili upate kitu kizuri ni dhahiri kwamba bei ha China product haitatofautiana sana na bei za bidhaa kama hizo kutoka nchi zingine.... Cheap is very expensive wakuu!
 
Actually size wanazouza kwa promo ya sasa ni 32" kwa 700,000/= na si 42", pia 26" kwa 500,000/=.

  • Zina kingamuzi (decoder) ya Startimes hivyo hauhitaji kununua decoder kwa ajili ya Digital TV. Zina option pia ya kuweka kadi za DSTV hivyo hulazimiki kununua decoder ya DSTV, utahitaji Dish tu. Ila kwa masafa ya Startimes huhitaji dish, antennae ya kawaida inatosha (Huwa wanauza pia kwa gharama nafuu nadhani around 50,000 au 30,000).
  • Zina uwezo wa kuunganishwa na computer zikatumika kama screen. Kwa kawaida hazina resolution kubwa sana kiasi kwamba uzitumie kwenye kompyuta kwa kazi za typing. Ila kwa kutazama movie, video editing supa dupa.
  • Zina connections nyingi (Nyingi sana ukilinganisha na TV nyingi utazokuta dukani):
  • USB, nimeambiwa unaweza kuunga external hard disk, kama ina videos au audios basi we ni kuziplay tu, full kujiachia (Ila sijathibitisha hili) ila ni kweli zina USB.
  • Zina connection ya S-Video kwa ajili ya Deki za DVD au kompyuta au Camera au kifaa chochote chenye uwezo wa S-Video. S-Video huwa na picha bora zaidi kuliko VGA (Ukiitumia kama screen ya kompyuta).
  • Zina HDMI Connection kwa ajili ya Deki za DVD au kompyuta etc zenye connection hii, baadhi ya laptop za kisasa zina HDMI. HDMI ina ubora wa picha kuliko S-Video na VGA.
  • Zina Audio output kwa ajili ya subwoofer etc.
  • Ni HD Ready, kwa ubora wa picha kuliko screen za kawaida.
  • Screen yake ni Gloss kiasi kwamba kiasi kwamba inaonesha picha vizuri hata kama kuna mwanga wa jua. Haififii.
  • Ni nyeusi kwa rangi.
  • Zimetengenezwa na kampuni ya Hisense ya China. Hisense inatengeneza bidhaa nzuri na bora.
Mtu angeniuliza nimshauri anunue au la... ningejibu:

"Kwanini hujanunua hadi sasa?"

Kama kuna swali nakaribisha. Nitajitahidi kujibu kwa lugha rahisi.
 
asante mkuu kwa kutuelewesha vizuri kabisa.....swali lilikuwa niulize kama nitaweza kutumia dstv lakini umeshajibu , ila niulize....kwa hiyo sitahitajika kununua decoder ya dstv? nimesikia hizo zina inbuilt decoder zao how come dstv iingie hapo?
 
Ndiyo zina inbuilt decoder lakini bado utalazimika kuweka card hata kama ni Startimes. Hii ina maana kuwa hiyo decoder inakuwa either Startimes au DSTV kutegemeana na kadi uliyoweka. That is what I know.
 
Msaada wenu wadau, kuna hizi lcd tv za startimes naziona zipo kwenye promo, kwa yeyote ambaye anaujua utendaji wake atujulishe, zinasemekana zina Hisense technology, kwa anayejua pia hisense ni nini atuelimishe, at least na sisi wengine tujidai na flat screen za bei rahisi
Hisense ni kampuni kubwa na ipo mpaka USA.
Hisense USA - Top Rated - Consumer Electronics and Home Appliances. Ukiona kampuni imekubalika mpaka USA ujue lazima ina quality products kwani jamaa hawawezi ingiza bidhaa za hovyo.
Pia jaribu soma hapa Don't Fall Into These HDTV Buying Traps - Yahoo! Shopping upate mwanga kidogo jinsi ya kuchagua hivi vitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom