LCD TV za Startimes ziko vipi?

Msaada wenu wadau, kuna hizi lcd tv za startimes naziona zipo kwenye promo, kwa yeyote ambaye anaujua utendaji wake atujulishe, zinasemekana zina Hisense technology, kwa anayejua pia hisense ni nini atuelimishe, at least na sisi wengine tujidai na flat screen za bei rahisi
Nilipo ipo LCD tv Hisense, sio hii branded startimes ila nahisi specs zitafanana kiasi. Ina:
  • usb ports 2, na ni kweli unaweza connect flash drive, external hdd etc. afu mwake video, audio na pictures inacheza hadi slideshow
  • hdmi ports 3
  • scart port 1
  • av ports 2
  • antenna port 1 (female)
  • vga port 1
  • computer audio port
  • s-video port 1
  • component port 1
  • built-in speakers
ni kweli so flat, and HD but usiitumie kutazama TV za hapa TZ coz picha inakuwa hovyoooo labda cheki mamuvi utainjoi au stations ambazo tayari wame-switch to HD (aspect ratio yake ni 16:9 by default)
 
Kaka, Naomba kama unanunua 42" na Zaidi uwaulize

"Je Hii T.V ni FULL HD au is it just HD READY ?"

Hili ni swali ni kama unanunua screen 42" and above. Other wise kama ni chini ya 42" hata HD READY T.V inafaa.

Kama mnajiuliza tofauti soma hapa: Whats difference between HD-READY and FULL-HD

B.P (2010)
Sidhani hili suala la TV kuwa HD lina maana hapa Bongo, hakuna Tv station inayorusha matangazo yake kwa mtindo wa HD hapa Bongo kwa hiyo haitakuwa tofauti na TV ya kawaida tu. Haya mambo ya HD, 3D yanategemeana na transmittion otherwise wafanya biashara wanatupata tu. Kwa hapa Bongo kununua TV ya 3D au ya HD ni kuingia gharama ya ziada, labda kama unanunua mapema ukisubiri vituo vyetu vielekee huko.
 
Hadi leo bado hii theory iko valid?
 
wengine tunatumia kuangalia youtube na movie 4k......ni bora iwe overspecked
 
Kutoka moyoni sijawahi kupenda bidhaa za makampuni yasiyo yao.
Mfano simu wanazouza kampuni ya mawasiliano....hv tv za ving'amuzi...lkn kwa hii nimeikubali.
Nitaitafuta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom