Jina lake tu kwa kimawia lina maanisha taahira!
hapa nimecheka, tena kwenye daladala. Duh!we cheka mkuu,walionuna wana madeni
mkuu waongo hao. Wanacheka khmyakimya.lipa kwanza deni ndo utacheka
Siyo ombi wala hiari,kama hamtaki kucheka tunagombana.