Usimdharau mtu na kazi yake,anaokota taka for special mission ya upelelezi
Takataka is big business!!!!
Usimdharau mtu na kazi yake,anaokota taka for special mission ya upelelezi
lawyers lawyers IMMA advocates..hela ipo hamna njaa..
Masha anaweza kuwa na mapungufu yake kama mwanadamu, lakini nimependa jitahada zake za kuleta magari ya kisasa kuzoa taka. Tumechoka na malori yanayomwaga matakataka njiani. Kazi nzuri kijana Lau, ukisafiri iga mazuri.
Masha ametoa point moja ya msingi sana, kuwa sababu ya watu kung'ang'ania ubunge ni pamoja na ukweli kuwa hawana kazi nyingine. Na hao ndio wanaoleta vurugu wakiona wameshindwa kwani wanaona kama ndoo mwisho wa maisha. Next election hakuna kuchagua watu ambao ubunge ndoo mwanzo na mwisho. Watu wa namna hii ndoo wapika majungu wakubwa. Mimi nimemkubali Masha, ameweza kuishi maisha ya kawaida na yupo comfortable. Lau upo juu
sasa kama tutakuwa tunaenda na chupa za chai bar si itabidi wenye baa wafunge watauza nini sasa?? wakati biashara yao kuuza ugimbi?Kauli ya Masha kwenda na Chai Rose Garden,Ilimfanya Mama Watoto wangu,asisitize kuwa kwenda Bar sio lazima kwenda KUNYWA! duh itabidi aniombe RADHI!
We Ulimwelewaje?? Fafanua... Kampuni kubwa kwani nani kauliza?
ni kweli mkuu, lakini ina maana hujui ujamaa ulikufa na babake??Sio kuwa Ameleta, Kama kuzoa takataka kumebinafaishwa lazima ulete hayo Magari ya Mashine; Sababu hautaki kutegemea Labor intensive hauta pata pesa; ni Mashine Intensive hapo ndio utapata pesa...
Mashirika ya Jiji ni Labor intensive ili ipatie Ajira wengi kuondoa Unemployment, hapo ndio tuna capitalize kila kitu
Kama Chuo Kikuu, eneo lote hilo la Mjani watu walikuwa wanafyeka na mafyekeo sasa wakiprivatize ni watu 4 wanalimaliza eneo hilo kuwa na matrekta ya kukata Majani na Wafanyakazi Wafyekaji 200 kazi hakuna
Hapo Mmeua na kumaliza Siasa ya Ujamaa na kujitegemea; Mjue wapi kwa kupeleka watu wa Elimu ndogo Msichekelee
Ya Lau Masha, Mfikiri wasio na Elimu wataenda wapi kuwa Wezi au Mtawafikiria? Mmeona yeye anaishi Bar pesa inaingia
hahahaaaa.... irregardless!!!Uwaziri ni umungu mtu kiasi kwamba mtu ukiwahi kuwa waziri huwezi kufanya kazi nyingine?
Kuzoa takataka ni kazi ya shetani kiasi kwamba binadamu hatakiwi kuifanya?
Unachotaka kusema ni nini kuhusu huyu mzee wa "irregardless"?
acha kumfagilia huyu ni kimeo,kama anfanya hiyo kazi toka moyon aje huku uswazi kama vingunguti,tabata n.k yeye anakusanya oysterbay na masaki tu...why???????????Masha anaweza kuwa na mapungufu yake kama mwanadamu, lakini nimependa jitahada zake za kuleta magari ya kisasa kuzoa taka. Tumechoka na malori yanayomwaga matakataka njiani. Kazi nzuri kijana Lau, ukisafiri iga mazuri.
acha kumfagilia huyu ni kimeo,kama anfanya hiyo kazi toka moyon aje huku uswazi kama vingunguti,tabata n.k yeye anakusanya oysterbay na masaki tu...why???????????
Kwa hiyo sisi wa uswazi sio watu sio?hayo magari yana nn mpaka yabague kufanya kazi masaki tu na sio pande za uswahilini eg. vingweta?Vingunguti kila kaya inalipa kiasi gani kwa mwezi kwa ukusanyaji wa taka? Na gharama za uendeshaji wa aina ya magari yanayotumiwa na hii kampuni ya Masha ukoje ukilinganisha na trolly au malori ya wazi?
ni kweli mkuu, lakini ina maana hujui ujamaa ulikufa na babake??
My bro, i tried kulima na watu nilikoma.... net profit ilikua zero.... i bough machines, i picked three committed kids, one with good education, i had 300% profit.... utaniambia nirudi kule kwa jamaa mnagawana kazi halafu kila siku yuko msibani huku kazi zimelala??
Tutawachukia sana wanaomodernize business, halafu badae tutawalamba miguu
sipendi mafisadi lakini namheshimu sana entrepreneur
Kwa hiyo sisi wa uswazi sio watu sio?hayo magari yana nn mpaka yabague kufanya kazi masaki tu na sio pande za uswahilini eg. vingweta?