Lawrence Masha: Kutoka Uwaziri hadi kukusanya takataka Dar

Masha anaweza kuwa na mapungufu yake kama mwanadamu, lakini nimependa jitahada zake za kuleta magari ya kisasa kuzoa taka. Tumechoka na malori yanayomwaga matakataka njiani. Kazi nzuri kijana Lau, ukisafiri iga mazuri.

Sio kuwa Ameleta, Kama kuzoa takataka kumebinafaishwa lazima ulete hayo Magari ya Mashine; Sababu hautaki kutegemea Labor intensive hauta pata pesa; ni Mashine Intensive hapo ndio utapata pesa...

Mashirika ya Jiji ni Labor intensive ili ipatie Ajira wengi kuondoa Unemployment, hapo ndio tuna capitalize kila kitu

Kama Chuo Kikuu, eneo lote hilo la Mjani watu walikuwa wanafyeka na mafyekeo sasa wakiprivatize ni watu 4 wanalimaliza eneo hilo kuwa na matrekta ya kukata Majani na Wafanyakazi Wafyekaji 200 kazi hakuna

Hapo Mmeua na kumaliza Siasa ya Ujamaa na kujitegemea; Mjue wapi kwa kupeleka watu wa Elimu ndogo Msichekelee

Ya Lau Masha, Mfikiri wasio na Elimu wataenda wapi kuwa Wezi au Mtawafikiria? Mmeona yeye anaishi Bar pesa inaingia
 
Masha ametoa point moja ya msingi sana, kuwa sababu ya watu kung'ang'ania ubunge ni pamoja na ukweli kuwa hawana kazi nyingine. Na hao ndio wanaoleta vurugu wakiona wameshindwa kwani wanaona kama ndoo mwisho wa maisha. Next election hakuna kuchagua watu ambao ubunge ndoo mwanzo na mwisho. Watu wa namna hii ndoo wapika majungu wakubwa. Mimi nimemkubali Masha, ameweza kuishi maisha ya kawaida na yupo comfortable. Lau upo juu
 
Kwani vichaa wangapi hapa mjini waokota taka ni wapelelezi?,moyo wa mtu ni kichaka kilichojaa siri nzito
 
Masha ametoa point moja ya msingi sana, kuwa sababu ya watu kung'ang'ania ubunge ni pamoja na ukweli kuwa hawana kazi nyingine. Na hao ndio wanaoleta vurugu wakiona wameshindwa kwani wanaona kama ndoo mwisho wa maisha. Next election hakuna kuchagua watu ambao ubunge ndoo mwanzo na mwisho. Watu wa namna hii ndoo wapika majungu wakubwa. Mimi nimemkubali Masha, ameweza kuishi maisha ya kawaida na yupo comfortable. Lau upo juu

Sasa kwanini hawakumuuliza mbona alibomoa bomoa Ofisi ya Mbunge wa Nyamagana akisema hata Vitasa ilikuwa ni Pesa yake ya Mfukoni Wakati alikuwa hajawaki kufika Ofisini Hapo?

Hiyo kwake ilikuwa ni nini? Ilikuwa? Na Sababu gani Ilimfanya akimbilie South Afrika asahau kukabidhi Ofisi?

Yaani Wabongo Rahisi kusahau sasa Mnaimba Nyimbo za kumtukuza; Naona baada ya Miezi mitatu mtamtukuza Ngeleja
 
Kauli ya Masha kwenda na Chai Rose Garden,Ilimfanya Mama Watoto wangu,asisitize kuwa kwenda Bar sio lazima kwenda KUNYWA! duh itabidi aniombe RADHI!
sasa kama tutakuwa tunaenda na chupa za chai bar si itabidi wenye baa wafunge watauza nini sasa?? wakati biashara yao kuuza ugimbi?
 
We Ulimwelewaje?? Fafanua... Kampuni kubwa kwani nani kauliza?

mdau,

we read post and intention of the poster, huwezi kuambiwa umefulia if you have a big company, but unafulia if you are back to the small business or failed to launch altogether. kuhusu nani kauliza, it depends nilikua namjibu nani, and i am not sure ningekujibu wewe!!! for obvious reasons.............

unasema fafanua, and then unasema nani kauliza?? what a contradicting persona

komaa dogo, komaa utakua tu.... mdogo, mdogo

but take time to learn the context rather than jumping like an ass wiper
Masha was satirical to the media, after all the negative publicity media painted!!
 
Sio kuwa Ameleta, Kama kuzoa takataka kumebinafaishwa lazima ulete hayo Magari ya Mashine; Sababu hautaki kutegemea Labor intensive hauta pata pesa; ni Mashine Intensive hapo ndio utapata pesa...

Mashirika ya Jiji ni Labor intensive ili ipatie Ajira wengi kuondoa Unemployment, hapo ndio tuna capitalize kila kitu

Kama Chuo Kikuu, eneo lote hilo la Mjani watu walikuwa wanafyeka na mafyekeo sasa wakiprivatize ni watu 4 wanalimaliza eneo hilo kuwa na matrekta ya kukata Majani na Wafanyakazi Wafyekaji 200 kazi hakuna

Hapo Mmeua na kumaliza Siasa ya Ujamaa na kujitegemea; Mjue wapi kwa kupeleka watu wa Elimu ndogo Msichekelee

Ya Lau Masha, Mfikiri wasio na Elimu wataenda wapi kuwa Wezi au Mtawafikiria? Mmeona yeye anaishi Bar pesa inaingia
ni kweli mkuu, lakini ina maana hujui ujamaa ulikufa na babake??

My bro, i tried kulima na watu nilikoma.... net profit ilikua zero.... i bough machines, i picked three committed kids, one with good education, i had 300% profit.... utaniambia nirudi kule kwa jamaa mnagawana kazi halafu kila siku yuko msibani huku kazi zimelala??

Tutawachukia sana wanaomodernize business, halafu badae tutawalamba miguu

sipendi mafisadi lakini namheshimu sana entrepreneur
 
Uwaziri ni umungu mtu kiasi kwamba mtu ukiwahi kuwa waziri huwezi kufanya kazi nyingine?

Kuzoa takataka ni kazi ya shetani kiasi kwamba binadamu hatakiwi kuifanya?

Unachotaka kusema ni nini kuhusu huyu mzee wa "irregardless"?
hahahaaaa.... irregardless!!!
 
Masha anaweza kuwa na mapungufu yake kama mwanadamu, lakini nimependa jitahada zake za kuleta magari ya kisasa kuzoa taka. Tumechoka na malori yanayomwaga matakataka njiani. Kazi nzuri kijana Lau, ukisafiri iga mazuri.
acha kumfagilia huyu ni kimeo,kama anfanya hiyo kazi toka moyon aje huku uswazi kama vingunguti,tabata n.k yeye anakusanya oysterbay na masaki tu...why???????????
 
Hajakosea, kwani hata kazi ya Uwaziri wa Mambo ya ndani ni kusafisha uchafu.
 
acha kumfagilia huyu ni kimeo,kama anfanya hiyo kazi toka moyon aje huku uswazi kama vingunguti,tabata n.k yeye anakusanya oysterbay na masaki tu...why???????????

Vingunguti kila kaya inalipa kiasi gani kwa mwezi kwa ukusanyaji wa taka? Na gharama za uendeshaji wa aina ya magari yanayotumiwa na hii kampuni ya Masha ukoje ukilinganisha na trolly au malori ya wazi?
 
Kwa hiyo sisi wa uswazi sio watu sio?hayo magari yana nn mpaka yabague kufanya kazi masaki tu na sio pande za uswahilini eg. vingweta?
 
ni kweli mkuu, lakini ina maana hujui ujamaa ulikufa na babake??

My bro, i tried kulima na watu nilikoma.... net profit ilikua zero.... i bough machines, i picked three committed kids, one with good education, i had 300% profit.... utaniambia nirudi kule kwa jamaa mnagawana kazi halafu kila siku yuko msibani huku kazi zimelala??

Tutawachukia sana wanaomodernize business, halafu badae tutawalamba miguu

sipendi mafisadi lakini namheshimu sana entrepreneur

Sikusema kuwa turudi kwenye Vyanzo Vya Vyuma kitu cha kunishangaza ni wachangiaji kuabudu kuwa ni Lau Masha ndie atakayeleta Hayo Magari ya Matakataka sio Mwingine.

Ndio Maana nikasema kama kutakuwa na fair privatization; Mtu anapewa Maeneo sio Lau Masha ana Monopolize the Market kama Sasa hivi hakuna Mwingine wa kufanya hiyo Biashara Isipokuwa Lau Masha, na hajui Socialist Economy his Mind is all about Profit Maximization Capitalistic Economy; Lini Unadhani faida anayopata atasaidia kijiji Umeme au watoto wazururaji?

Well, kama huyu utamwita Enterpreneur Nchi yetu Imeisha; Kwahiyo Unaona Lau Masha sio FISADI?

Sasa, NGELEJA akiingia kwenye Biashara akianzisha something New Very Motivational as an Enterpreneur pia hautaangalia his Past; Utaangalia sasa hivi kama nani? a Best Enterpreneur

Kama nilivyosema kuna Wanaomodernize Business in a good heart for the betterment of the country

There are some who are ME ME ME; Sasa hivi Lau Masha hawezi kuifanya hiyo Biashara ya kuzoa Matakataka Mwenyewe
Unajua hakuna mtu Mpya wa kupewa kibali?; labda aingie Ubia na Lau Masha?

Ni kama vile CLOUD's wao wanaita Wanamuziki wa USA; kuna watu mbalimbali Watanzania Walioka Dar na USA wanataka kufanya hivyo lakini hawapewi kibali lazima Uende kwa CLOUD's yaani Wamemonopolize hiyo Biashara

Sasa hapo itabidi kweli Uwalambe Miguu kama unataka hiyo Biashara yako; Lakini SIWEZI KUFANYA HIVYO I'M FREE SITAKI KUTAWALIWA TENA na VICAPITALIST.
 
Kwa hiyo sisi wa uswazi sio watu sio?hayo magari yana nn mpaka yabague kufanya kazi masaki tu na sio pande za uswahilini eg. vingweta?

KIJOME, mara nyingi wazoa taka huwa wanaingia mkataba na Halmashauri au serikali za mitaa. Sasa kuna mawili, ama kila kaya inaweza kulipa gharama zote au halmashauri ika-subsidize pale inapobidi. Kuna sehemu watu wanalipa shs 10,000 na wengine 15,000 (kwa mwezi). Sifahamu maeneo unayoongelea watu wanalipa kiasi gani kwa mwezi.

Kama sisi ni wa kweli, magari ya wakina Masha ni ya gharama, na wafanyakazi wake nimejaribu kudadisi, wanalipwa vizuri, lakini mwisho wa siku lazima naye aendeshe biashara. Vingenevyo Halmashauri zibebe jukumu la kuzoa taka.
 
Jamaa hajapoteza Chochote labda title. Ya Uheshimiwa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
bigup kwa Masha kwa atleast kuendana na teknolojia kwa kuleta magari ya taka ambayo ni more advanced.tunahitaji watu kama hao kwenye jamii.nadhani masha akiwa kama kijana anafit zaidi kwenye ujasiriamali kuliko siasa.siasa ni ngumu hasa kwa vijana waliokulia nje ya nchi au mijini.kwamba kuna lifestyle ambayo inabidi ukiwa mwanasiasa uifuate for the sake of some people.ukionekana club ni nongwa,ukionekana na msichana hata kama ni mfanyakazi wako ni nongwa,ukienda rose garden ni nongwa nk.chochote unachofanya kwenye private life yako ukiwa kama mwanasiasa hata kama hakina effect na utendaji kazi wako ni nongwa.majungu lukuki..siasa zinafaa wazee zaidi. Masha bado ni kijana na sio mtu wa kuishi kama haters wanavyotaka.nampa hongera kwa kujaribu kuiendeleza sekta ya mazingira.kuanguka kwa masha hakutafanya maisha yangu au ya mwananchi mwingine yeyote yawe bora hivyo hatuna haja ya kumbeza au kufurahia kama angekuwa chini.zaidi namwombea afanikiwe zaidi ili awekeze zaidi nchini walau ndugu zetu wengine wapate ajira kwake.kwamba akiwa mwanza anasindikizwa na defender mbili za polisi kwenda club sio issue muhimu ila ni maneno ya wakosaji.nani asiyependwa kupata ulinzi kama anaopewa masha?ila tu hatuna uwezo wa kuupata tunaishia kulaumu wengine..be blessed!
 
baadae ata generate power kutokana na takataka!jana nimemuona ngeleja samaki samaki mlimani kishachoka kabisa
 
Back
Top Bottom