Lawama nimpe Nani?

....dahhh, hii sredi inapiga moja kwa moja kwenye 'bull's eye'..
dart_in_bull_s_eye_icon_letterhead-p1997367059626250542mgza_125.jpg
...acha ni skip!...
 
rudi Mkuu,mawisdom yako muhimu.
Haijapata kutokea!!
Mkuu umeweka mpira kwapani??? Hapana bwana, rudi useme walau kiduchu!!
1. mke kutembea na shemeji yake i.e. kaka/mdogo/binamu wa mume wake
2. Mume kutembea na shemejiye i.e. dada/mdogo/binamu wa mkewe.

(Nimewaexclude marafiki kwa kuwa nahisi wao hawaangukii kwenye huu mshangao wangu).

Je kosa ni la nani kati ya hawa?

...ngumu sana aiseee...

jamaa baada ya kugundua mkewe katembea na binamu yake, alicholipiza...kwanza alitembea na mke wa binamu yake,
kisha akamalizia na mdogo wa mkewe. Huyo jamaa is my hero!...namsifu kwa ushujaa wake...ndio maana nikajisemea ni ngumu sana mimi mbu kuhukumu hapa kwa kutambua uchungu wa mke.
 
Hii topiki imenigusa. Nina rafiki yangu wa karibu ilimtokea, mume wake alitembea na mdogo wake ambae alikuwa anaishi naye. Ilikuwa vigumu kuamini maana huyo mdogo wa rafiki yangu alikuwa kama mdogo wangu pia. Matokeo yake ndoa ilivunjika na mfarakano ulitokea ndani ya familia ya rafiki yangu. Kwa kweli inaumiza! Wakulaumiwa ni nani? kwangu mimi ni wote wawili: mume/mke - wa kushindwa kuheshimu ndoa yake na mdogo wa mume/mke - kwa kukubali kutembea na shemejie.
 
Nakumbuka eneo tulilokulia kuna prof mmoja mkewe wa ndoa alikuwa hazai wakamchukua mdogo wake wakaenda wote nje walivorudi tayari walikuwa na mtoto wao mdogo, yule mdogo mtu akaolewa huko akaenda kuzaa watoto zaidi mara akarudi kusalimia kama likizo hivi, alipofika kamchukua yule mtoto na wake alikuwa mgongoni wakawa wanaenda dukani tu kununua mkate kitu kama hicho, njiani wakapata ajali yule mtoto aliyepatikana kwa shida alifariki palepale, yule dada na mwanae mgongoni hata kuchubuka...

kwa hiyo wengine wanatembea na shemeji zao kwa kesi ya aina hii,nashindwa kuelewa wa aina hii walaumiwe au wassilaumiwe
Pale ambapo mwanadamu anapojaribu kumrekebisha MUNGU! Masikini pole zao
 
Nimesoma na kusikia visa vingi sana vya mapenzi ila ambacho ninashindwa kukielewa lawama nimtupie nani ni hiki cha mtu na shemeji yake!! Yaani iwe
1. mke kutembea na shemeji yake i.e. kaka/mdogo/binamu wa mume wake
2. Mume kutembea na shemejiye i.e. dada/mdogo/binamu wa mkewe.

Je kosa ni la nani kati ya hawa?

MJ1 Mapenzi hayana formulae... Infidelity ingekua kwamba inasukumwa na sababu moja tu!! Ingekua rahisi saana kupata jibu kua ni nani alaumiwe. Mara nyingi sie wanadamu tuko very quick at judging hasa issue kama hii ya kutembea na kaka/dada wa mwenza wako ikitokea. Naamini kua in different situations na circumstance lawama uhama toka kwa mtu wa kulaumiwa...

Mfano wa pale unapokuta Mumeo kalala na dadako ukitaka umpate nani alumiwe yategemea...

  • Je wee kama Mke umeacha kua dadako (awe mdogo ama mkubwa kwako) karibu mno na mumeo... Yaani zile za kutreat kila mmoja wenu kama wife mdogo and mkubwa, utani mwiiiingi... huyo dadako yupo huru mno kwa shemejie uko so relaxed waweza ondoka hata home yeye ndo apike, amfulie ampokee, ahandle nyumba, ahandle watoto... yaani ukiiangalia kwa ukaribu with a detached mind anakua kama mke mdogo/mkubwa vile - Hapo kwa mwanaume yeyote lijali lazima atapita hapo kwa dadako, hasa kama wako so free na wewe ni busy person.
  • Je unajua tabia ya dadako (maana hii ipo saana) kua yeye kutembea na mume wa mtu sio shida kwake, yeye ni mtu wa kujirusha, ndio huja once in a while nyumbani hasa kama ndio siku kachelewa kurudi hataki enda wagongea home but yupo comfy kwako... Yupo free saana tu kwako, aweza ingia chumbani upo na mumeo... kazoeana mno na mumeo, ndo kwanza asubuhi yake anapoondoka lift anapata ya shemeji kwenda kwake.
  • Je unajua tabia ya mumeo ya ukicheche.... kwake skirt isipite machoni kwake ni shida kabisa. Mume wa namna hio hafai kuachiwa dadako ndani na akwa nae huru saana. Na lazima umpe warning dadako tabia ya shemijie (thou it is beyond me kwanini aendelee kukaa hapo)
  • Ikumbukwe pia kua ndio mwaweza kua mlikutana na mumeo mkaoana... But in the long run tokana na sababu tu kua mapenzi hayana ADABU mumeo anarealise kua the Woman ambae anapenda zaidi kuliko alivowahi penda ni dadako.... na dadako pia aka fall kwa mumeo.... Hapo kweli kabisa na hivi mko karibu ana excuse ya kuja hapo home.... Possibility ya kutembea ni kubwa mno.
  • Uwezo wa mwanaume pia yaweza changia hasa kama mwanamke umetoka familia ya kimasikini mno... na mwanaume anale familia yenu kwa kila kitu, yaani ukileta dadako hapo kwa wale ambao hawana ustaarabu kwa wazi kabisa atatembea nae kwa kujua huna la kufanya wala pa kukimbilia....

Hata hivo haya mambo yapo soo complicated na nimegusia hivo kwa mfano but kiukweli sidhani kama nimejibu ipasavo... Ukiangalia hizo baadhi ya sababu ama ambavo vyaweza pelekea... unakuta lawama ina hama from one person to another....

MJ1 Naamini kua wewe ni mzima wa Afya. Nakutakia usiku mwema dear...
 
Heheheheee.......let me batasamu first kwa kushindwa kumquote AshaDii! Lol! As long as kubakana is not concerned, ADI pamoja na yote hayo uloeleza still kuna kitu makubaliano ambacho ndicho kinachopelekea kuvunja heshima ya ndoa na familia nzima kwa ujumla! IMO, wote walaumiwe kwa sababu walikubaliana kutenda hilo jambo makusudically while wakijua kabisa ni makosa! Adhabu yao ni kuwafungisha ndoa ya mkeka, then kwa sababu wamesababisha makwazo makubwa sana, basi kama ikiwezekana itakuwa heri wafungwe mawe shingoni mwao wakatupwe baharini huku wakiifurahia ndoa yao mpya kwa pamoja!
 
Before lolote lile kwanza.... Kipipi mie naamini saana kua Mwenza wako anapocheat, kabla ya hasira yako kukuchukua kombo... Jiangalie kwanza wewe ambae ndo mume/mke.... Believe me you sometimes mwenza ulonae ndo chanzo kikubwa cha mmoja wenu kucheat (si justify but trying the reality as according to me)

Back to the topic and what you have posted.... Nakubali uloongea, ila tu kwangu bana wao kukubali kunisaliti na kuamua kufanya hivo - ni mambo mengi saana ya kuobserve...Nitolee Mfano ambao more in analogy... ni sawa na mtu ambae sio mwizi wala hajawahi iba, akawa na tatizo kama vile mtoto anaumwa mno; hana msaada kabisa, hana wa kumlilia na issue ni ndogo tu for dawa ya kununua yaeleweka kabisa kua ni dawa fulani na ni shilingi elfu 10 tu! Kajaribu kuomba hio alfu 10 na kuiazima kila kona but watu wooote wamemtolea nje.... Kipipi huyo mtu akikuta alfu 10 imekaa vibaya haijalishi kua anajua ni yanani believe me you ataona for once.... Wacha niibe.... It does not make it right, but it makes it logical. Hapo nani alumiwe... walomnyima?? mtoto anaeumwa?? yeye?? aloweka hio hela vibaya??

Usijali kuhusu kuquote dear... hata hivo the post is too long... I hope you are well and good.
 
ADii, MJ1 na wengine waliochangia hapa, bado sipata mtu wa kunijibu. Tunahaha kutafuta mahali pa kurusha lawama. Hivi kwa kufanya hivyo wametenda kosa lolote? Kama ndiyo nani anatoa hiyo hukumu na kwa kutumia sheria ipi??Naoma mnijibu tafadhali!!!Babu DC!!
 
ADii hata kama mwenza ndo chanzo lkn bado namlaumu hata huyo ndugu for hakupaswa kukubali kitendo kama hicho kwa kuzingatia uhusiano wake na ndugu pamoja na shemejie! Jamani huyo sio kimada/kidumu hata atoe consent kwa jambo la aibu ka hilo kwa sababu zake binafsi, heshima lazima iwepo kwa ndugu yake! Akitaka kucheat atoke nje kabisa ya familia yangu ndo nitapata muda wa kujiangalia kwanza tena na penyewe sijui aje na reasons zipi zilizoshiba otherwise patachimbika tu! ADI nikiangalia mfano uloutoa naona ni mwepesi sana, coz mwenza hata awe na hitaji kiasi gani still uzito wa ndugu ni mkubwa na hauwezi bebwa kama noti iliyozubaa!! Ok, labda unifafanulie zaidi. BTW, kipipi mzima wa afya.
 
MJ1 Mapenzi hayana formulae... Infidelity ingekua kwamba inasukumwa na sababu moja tu!! Ingekua rahisi saana kupata jibu kua ni nani alaumiwe. Mara nyingi sie wanadamu tuko very quick at judging hasa issue kama hii ya kutembea na kaka/dada wa mwenza wako ikitokea. Naamini kua in different situations na circumstance lawama uhama toka kwa mtu wa kulaumiwa...

Mfano wa pale unapokuta Mumeo kalala na dadako ukitaka umpate nani alumiwe yategemea...
  • Je wee kama Mke umeacha kua dadako (awe mdogo ama mkubwa kwako) karibu mno na mumeo... Yaani zile za kutreat kila mmoja wenu kama wife mdogo and mkubwa, utani mwiiiingi... huyo dadako yupo huru mno kwa shemejie uko so relaxed waweza ondoka hata home yeye ndo apike, amfulie ampokee, ahandle nyumba, ahandle watoto... yaani ukiiangalia kwa ukaribu with a detached mind anakua kama mke mdogo/mkubwa vile - Hapo kwa mwanaume yeyote lijali lazima atapita hapo kwa dadako, hasa kama wako so free na wewe ni busy person.
  • Je unajua tabia ya dadako (maana hii ipo saana) kua yeye kutembea na mume wa mtu sio shida kwake, yeye ni mtu wa kujirusha, ndio huja once in a while nyumbani hasa kama ndio siku kachelewa kurudi hataki enda wagongea home but yupo comfy kwako... Yupo free saana tu kwako, aweza ingia chumbani upo na mumeo... kazoeana mno na mumeo, ndo kwanza asubuhi yake anapoondoka lift anapata ya shemeji kwenda kwake.
  • Je unajua tabia ya mumeo ya ukicheche.... kwake skirt isipite machoni kwake ni shida kabisa. Mume wa namna hio hafai kuachiwa dadako ndani na akwa nae huru saana. Na lazima umpe warning dadako tabia ya shemijie (thou it is beyond me kwanini aendelee kukaa hapo)
  • Ikumbukwe pia kua ndio mwaweza kua mlikutana na mumeo mkaoana... But in the long run tokana na sababu tu kua mapenzi hayana ADABU mumeo anarealise kua the Woman ambae anapenda zaidi kuliko alivowahi penda ni dadako.... na dadako pia aka fall kwa mumeo.... Hapo kweli kabisa na hivi mko karibu ana excuse ya kuja hapo home.... Possibility ya kutembea ni kubwa mno.
  • Uwezo wa mwanaume pia yaweza changia hasa kama mwanamke umetoka familia ya kimasikini mno... na mwanaume anale familia yenu kwa kila kitu, yaani ukileta dadako hapo kwa wale ambao hawana ustaarabu kwa wazi kabisa atatembea nae kwa kujua huna la kufanya wala pa kukimbilia....
Hata hivo haya mambo yapo soo complicated na nimegusia hivo kwa mfano but kiukweli sidhani kama nimejibu ipasavo... Ukiangalia hizo baadhi ya sababu ama ambavo vyaweza pelekea... unakuta lawama ina hama from one person to another....

MJ1 Naamini kua wewe ni mzima wa Afya. Nakutakia usiku mwema dear...

...tupo pamoja.
 
Ashadii; nakubadiliana na wewe kuwa kuna vitu vingi vyasababisha hiyo hali, but l only wish kuwa hizo sababu zingekuwa communicated between couple before the actual cheating kama kweli kuna nia ya kulinda ndoa! Si muumuni wa kuwatafutia excuse wanaume at least now; l use to be zamani; so kama kuna shida, why not discuss that n find solution!

Sina Mdogo but hivyo hakuna bloodsister aliyenitenda; but mashemeji zangu (waume wa dada zangu) did make passes over me, l was firm na soln niliyofikia was not to spend more than 4 days kwao and it did work!

Mwanajamii, if u r a victim sioni sababu ya msingi kutafuta mtu wa kumlaumu if u need to; uzito mkubwa ni kwa ndugu yako wa damu unless amebakwa! Ikinitokea sitafikiria mara mbili kuend ndoa! Narudia hakuna excuse ya cheating worse with ur blood relative; but kuna sababu za talaka kama kuna shida yoyote iliyoletwa na mke!

Eti ooh wanaume ni dhaifu or what; l refuse to buy that crap!
 
ADii, MJ1 na wengine waliochangia hapa, bado sipata mtu wa kunijibu. Tunahaha kutafuta mahali pa kurusha lawama. Hivi kwa kufanya hivyo wametenda kosa lolote? Kama ndiyo nani anatoa hiyo hukumu na kwa kutumia sheria ipi??Naoma mnijibu tafadhali!!!Babu DC!!

...lol....mwanajamiione hebu rudi hapa umjibu mstaafu!
 
commercial break...

...kwa ajili yako ewe soulmate!
 
Last edited by a moderator:
....dahhh, hii sredi inapiga moja kwa moja kwenye 'bull's eye'..
dart_in_bull_s_eye_icon_letterhead-p1997367059626250542mgza_125.jpg
...acha ni skip!...

Eh Mbu, ina maana??!!

...ngumu sana aiseee...

jamaa baada ya kugundua mkewe katembea na binamu yake, alicholipiza...kwanza alitembea na mke wa binamu yake,
kisha akamalizia na mdogo wa mkewe. Huyo jamaa is my hero!...namsifu kwa ushujaa wake...ndio maana nikajisemea ni ngumu sana mimi mbu kuhukumu hapa kwa kutambua uchungu wa mke.

................... Hii situation is another mydia loh!! Anarevenge eh lakini sasa mbona duh mbona inakuwa complicated sasa?! Maana tungemtetea kama angekuwa amebaka hawa mke wa binamu na mdogo wa mkewe..but aliwaongelesha wakaongelesheka!! Nani alaumiwe sasa kati ya hao?? Kumfumania mkewe haimpi haki ya kwenda kuchezea hisia za wenzake kwa lengo la kulipiza kissasi.

Mapenzi kizungumkuti.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...ndio maana mstaafu kakuuliza alaumiwe/walaumiwe kisha washitakiwe kwa kosa na sheria ipi?
hapo unaposema kuchezea hisia za wengine, kwani wadhani na wao hawakujua kinachoendelea?
Nijuavyo, na wao hawakupendezwa alichofanyiwa shemeji...it's complicated....ndio maana nikamuunga mkono ashadii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom