Laptop haiwaki (Black screen)

Barbie Dahl

Member
May 18, 2015
48
23
Ni Dell 15z - 5523, nimeupdate windows 10 mwezi uliopita na haikuwa na tatizo lolote. Ila juzi nimeiwasha kama kawaida lakini nashangaa inaanza kama inataka kuwaka halafu inatoa milio (tones) mitatu halafu inazima. Screen inakuwa tu nyeusi.

Msaada tafadhali.
 
Au kama kuna ramu mbili jalibu kutoa moja uwashe, ikigoma toa tena weka nyingine ikigoma ,nenda kanunue ram
 
mkuu nenda kwenye run kisha type explorer.exe then ok alafu pia ukiona screen ina kuwa black press f2 na je huwa screen huwa inakuwa black kwa mdagani
 
Kuna sababu kadhaa zinasababisha hilo tatizo lakini RAM ni sababu ya mwisho saaaana!

Kuna vitu huitwa drivers za intel graphics controller haziendani na graphic card..

What u do, follow me here;

Isubiri kidogo mpaka cursor itokee! Kijimshale mweupe ktk screen lakini inakuwa bado black all..

1. Hold windows button+P, kisha bofya mshale wa chini mara 2(down arrow) halafu enter..

Solved

Njia ya pili
2. Bofya Ctrl, halafu andika password yako uliyosajilia ukiwa unaweka windows, then enter.. Ukikosea password enter tena halafu uweke upya password

Kama tatizo litaendelea please nipatie taarifa!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Ikikubali kuwaka.. Download na install drivers za video/graphics drivers

They are free

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
Kuna sababu kadhaa zinasababisha hilo tatizo lakini RAM ni sababu ya mwisho saaaana!

Kuna vitu huitwa drivers za intel graphics controller haziendani na graphic card..

What u do, follow me here;

Isubiri kidogo mpaka cursor itokee! Kijimshale mweupe ktk screen lakini inakuwa bado black all..

1. Hold windows button+P, kisha bofya mshale wa chini mara 2(down arrow) halafu enter..

Solved

Njia ya pili
2. Bofya Ctrl, halafu andika password yako uliyosajilia ukiwa unaweka windows, then enter.. Ukikosea password enter tena halafu uweke upya password

Kama tatizo litaendelea please nipatie taarifa!

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums

sorry mkuu kwa kuingilia mada. nime hide folder kwenye desktop.naomba unisaidie jinsi ya kuliona tena.
 
Hiyo cursor hata haionekani

Nimejaribu kufanya hivyo ulivyoelekeza lakini bado vilevile
 
sorry mkuu kwa kuingilia mada. nime hide folder kwenye desktop.naomba unisaidie jinsi ya kuliona tena.

Naweza kukusaidia lakini nahitaji kujua ume hide vipi?

Hebu right click kwenye desktop then click palipo andikwa show desktop..

Sent from my BlackBerry 10 using JamiiForums
 
maedson na wadau,
me natumia windows 10 kwenye hp probook 4740s.
gafla screen ikawa na rangi nyeupe. hakuna cursor Wala Chochote kinachoonekana. nimejaribu hii soln ya Window+P+down arrow sjafanikiwa. Naomba msaada tafadhali
0787887701
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom