Naomba msaada Screen imegoma kuwaka

Dim Ray

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
318
247
Habari zenu wana jamvi,

Matumaini yangu muwazima . Straight to the point hivi juzi juzi nilipiga windows 10 kwenye laptop yangu ni ya 2015 ila cha ajabu ni kwamba windows hiyo haikuwa na Microsoft word 2007 na Microsoft services nyingine nilikuwa na mpango wa kupiga windows nyingine lakini ghafla pc inakataa kuwaka, screen inakuwa na black colour tu, hai display chochote
 
Hiyo window ulinunua zile genuine ?kwa hizi za kawaida za kudownload haziji na chochote zaidi ya media player,na ukichukua window 10 pro N hiyo ndo hupati chochote.

Kuhusu kutowaka sina utaalamu wa kujua sababu,ila nashauri piga tena window,window nzuri ni window 10 pro,na window 10 pro N ,hizi binafsi ndio naona zipo konk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuletea ujumbe wa kuactivate window? Huwa inaandika chini pale upande wa kulia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapana haijaleta chochote zaidi za black screen na ka cursor basi
 
Hiyo window ulinunua zile genuine ?kwa hizi za kawaida za kudownload haziji na chochote zaidi ya media player,na ukichukua window 10 pro N hiyo ndo hupati chochote.

Kuhusu kutowaka sina utaalamu wa kujua sababu,ila nashauri piga tena window,window nzuri ni window 10 pro,na window 10 pro N ,hizi binafsi ndio naona zipo konk

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikununua genuine ,ilikuwa tu ya mwana aliyokuwa kaniwekea kwenye Flash
 
Habari zenu wana jamvi,

Matumaini yangu muwazima . Straight to the point hivi juzi juzi nilipiga windows 10 kwenye laptop yangu ni ya 2015 ila cha ajabu ni kwamba windows hiyo haikuwa na Microsoft word 2007 na Microsoft services nyingine nilikuwa na mpango wa kupiga windows nyingine lakini ghafla pc inakataa kuwaka, screen inakuwa na black colour tu, hai display chochote
1. Windows haiji na office, na ikija nayo ni trial tu ili baadae ununue, na windows 10 kuja na office 2007 ndio kabisa haiwezekani.

2. Hio black screen inakuja baada ya pc kuwaka ama hadi vitu kama bios huwezi kuingia? Nenda kwenye bios elekeza pc iboot kwenye flash kisha washa pc moja kwa moja itaenda na flash na kukupa option ya kuweka windows.
 
Back
Top Bottom