si unajua ujana maji moto, inasemekana ali-flash mara nyingi enzi zake, uterus (womb) ilikwanguliwa mno kiasi kwamba fertelization haiwezekani tena.! Hebu tusikie mwisho wa tetesi utakuwaje.
Awe ametoka nje au kaingia ndani ya ndoa haijalishi, kwani goli la ushindi ni goli tu ilimradi refa amepiga kipyenga cha mwisho. Kitanda hakizai haramu. Kwani Yanga waliposhinda juzi walifunga wenyewe hata kuitwa washindi? Tuheshimu kanuni za maisha binafsi. Kumbe kweli Mkapa alimaanisha "Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri na wana wivu wa kijinga" Mungu atusamehe bue kabisa.Atakuwa ametoka nje ya ndoa tu huyo.
Awe ametoka nje au kaingia ndani ya ndoa haijalishi, kwani goli la ushindi ni goli tu ilimradi refa amepiga kipyenga cha mwisho. Kitanda hakizai haramu. Kwani Yanga waliposhinda juzi walifunga wenyewe hata kuitwa washindi? Tuheshimu kanuni za maisha binafsi. Kumbe kweli Mkapa alimaanisha "Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri na wana wivu wa kijinga" Mungu atusamehe bue kabisa.
Atakuwa ametoka nje ya ndoa tu huyo.
Kwani Captain Gadna Habash alikua hana mbegu zakutosha?