Lady jaydee ni mjamzito

Wambea hamna jema dada watua likuwa busy na mambo yake makaanza oooh mbona haolewi,mungu mungu ni mwema kaolewa,makaanza oooh mbona hazai,hana uwezo wa kuzaa mkamuuta na majina yote mabaya wala hakuwajali,sasa mmeanza oooh ana mimba so wat?mke wa mtu kuwa na mimba mshafanya story!mwacheni jaman km mungu kaamua kumpa mtoto nyie inawauma nn?mungu na amjalie kila lilio haja ya moyo wake!
 
Atakuwa ametoka nje ya ndoa tu huyo.
Awe ametoka nje au kaingia ndani ya ndoa haijalishi, kwani goli la ushindi ni goli tu ilimradi refa amepiga kipyenga cha mwisho. Kitanda hakizai haramu. Kwani Yanga waliposhinda juzi walifunga wenyewe hata kuitwa washindi? Tuheshimu kanuni za maisha binafsi. Kumbe kweli Mkapa alimaanisha "Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri na wana wivu wa kijinga" Mungu atusamehe bue kabisa.
 
I respect this lady may god clean her shame may her take in twin, surely for her shame god will give her double.
 
kama aliutaufuta ujauzito muda mrefu bila kuupata ni vema akaweka IBADA na kumshukuru MUNGU! la kama alijichelewesha makusudi kwa kile anachoweza kusema ni mipangilio ya maisha yake, basi alifanya kosa kubwa maana amechelewa sana kwa kuwa atamulea mtoto uzeeni! Ila yote tumwachie yeye ndiye anayejua km ni tumbo la Mimba au la Vyakula tumboni! maana na hizi Supermarkets zimeharibu sana matumbo ya Dada zetu !
 
Awe ametoka nje au kaingia ndani ya ndoa haijalishi, kwani goli la ushindi ni goli tu ilimradi refa amepiga kipyenga cha mwisho. Kitanda hakizai haramu. Kwani Yanga waliposhinda juzi walifunga wenyewe hata kuitwa washindi? Tuheshimu kanuni za maisha binafsi. Kumbe kweli Mkapa alimaanisha "Watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri na wana wivu wa kijinga" Mungu atusamehe bue kabisa.

mimi nikisikia wife katoka nje ni talaka tuu
 
Nimekuja gundua Lady JD ana Haters wengi mno namnumkuu! Sina maadui, labda kama kuna wanaoniona mimi kama adui yao Ila sijali wala sitaki kujua, nawaombea kwa Mungu awasamehe pia. Kitu chochote kizuri au kibaya kitakachonipata sitaogopa ku share na nyinyi!
 
Halafu swali langu kwahuyu dada ni kua mbona Janet Jackson mpaka leo hajazaa je nani mwenye umri mkubwa kati yake na huyu Lady JD?
 
Namnukuu tena huyu binti machozi! Mimi ni mimi, sidhani kama kuna mtu anaweza kunijua zaidi ya mama angu mzazi Siwezi pia kubadilika kuiga mtu, au kuishi fake life ili ku prove chochote kwa mtu yoyote
 
Swali jingine mbona Lady Madonna kazaliwa mwaka 1958 - mwaka 1996 ndio akazaa akiwa na umri wa miaka 38 natumaini huu umri Lady JD hajafikisha bado! Jamani JF sasa itageuka kua janvi la udaku.
 
Back
Top Bottom