Lady jaydee ni mjamzito

Mtoa mada hebu jaribu kutuelewesha sisi tusiomjua JD ni nani. Je alikuwa tasa sasa amepona? Je alikuwa hana mume au mumewe nae alikuwa mgumba? Je ni ndugu yako hadi ukajua alikuwa ananyanyasika katika ndoa yake? Je alitafuta mtoto akakosa au ni mipango yake?
 
Wewe utakuwa siyo mtanzania.
 
Mkuu ni bora ungeandika hata thread ya kuisifia familia yako,sasa wewe kwa akili yako unashangaa JD kuwa na mimba?si anakojoa huku amechuchumaa sasa sa cha ajabu kipi hapo?

utakuwa na kadamu ka kikurya si bure!
 
Ni vyema mtu kujua nini cha kutangazia umma na kipi you should keep to urself na familia. Sasa yeye Lady watever her name is kutwa kujitangaza na picha juu yupo hospitali mara nguo nyeupe mwezi november ni wa shukrani etc. get life woman! ona sasa wengine watasema hivi wengine vile lakini umeyataka mwenyewe.
 
Nasikia kwanza kwa sasa hayupo bongo, au ndio ameenda kupandikizwa huo ujawepesi?
 
Mkuu ni bora ungeandika hata thread ya kuisifia familia yako,sasa wewe kwa akili yako unashangaa JD kuwa na mimba?si anakojoa huku amechuchumaa sasa sa cha ajabu kipi hapo?
Hawa ni wasomaji wa magazeti ya udaku ndo wenye mawazo ya namna hii.
 
Back
Top Bottom