Lady jaydee ni mjamzito

HATA WEMA SEPETU NAYE ANA MIMBA SASA NAYE HUYU ANASEMA ANA MIMBA NGOJA TUWAHESABIE
 
Tcra chukueni hatua dhidi ya uongo kama kwenye mitandao hatupendi bhana!!Ole wako jide usiwe na hiyo mimba.
 
Hongera jd! No matter what ni m(wa)toto kwa njia ya chupa (IVF) au kawaida itabaki kuwa wako tu. Matatizo ya uzazi yanawasibu wengi kama umejaliwa kupata ujauzito mshukuru MUNGU wako. Look here, from 1978 todate over 4mil children have been born by mothers then said to be infertile. She's not the only1. Mungu anajua chochote unachosema, wengine hawajui majaliwa yao. Ikiwatokea kutopata mtoto watamuomba Mungu huyo huyo. Kama kweli ni mjamzito, mi nakuombea upate mapacha.
Uzinzi huu
 
Back
Top Bottom